Juma Duni Haji ateuliwa kuwa Naibu Kiongozi chama cha ACT-Wazalendo

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Kiongozi wa chama hicho cha siasa, Zitto Kabwe amesema kuwa Kamati ya Uongozi wa chama hicho imeridhia pendekezo lake la kumteua Naibu Kiongozi

Zitto ambaye ni Mbunge wa Kigoma Mjini ameeleza kuwa kwa mujibu wa Katiba ya Chama hicho amwpewa mamlaka ya kuweza kupendekeza jina

Uteuzi wa Juma Duni Haji aliyewahi kuwa Waziri wa Afya wa Zanzibar, Makamu Mwenyekiti wa CUF na Mgombea Urais kupitia UKAWA 2015 utaanza kesho Jumatano Machi 27, 2019
IMG_20190326_124547.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi wa chama hicho cha siasa, Zitto Kabwe amesema kuwa Kamati ya Uongozi wa chama hicho imeridhia pendekezo lake la kumteua Naibu Kiongozi

Zitto ambaye ni Mbunge wa Kigoma Mjini ameeleza kuwa kwa mujibu wa Katiba ya Chama hicho amwpewa mamlaka ya kuweza kupendekeza jina

Uteuzi wa Juma Duni Haji aliyewahi kuwa Waziri wa Afya wa Zanzibar, Makamu Mwenyekiti wa CUF na Mgombea Urais kupitia UKAWA 2015 utaanza kesho Jumatano Machi 27, 2019View attachment 1054426

Sent using Jamii Forums mobile app
Ccm mbendembende kifo cha mende chaliiiii...

Tushatuma barua sisi ndo kamati ya roho mbaya lazma tuwafutie usajili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi ni nani hivi? Maana Jamaa kateuliwa kuwa naibu......Sijui Maalim atapewa cheo gani
 
Back
Top Bottom