Juma Duni Haji ajiengua Rasmi CHADEMA

Babu hana jipya zaidi ya kulalamika, hayo ndo matokeo ya tamaa.
 
Kwa Zanzibar wao wako vizuri na wala hawana shida ya kuongeza nguvu na hiyo 350 ni ni sahihi si chair man alichukua 12 b sasa hiyo 350 ingeshindikanaje
 
Kwan

Kani kusoma hujui?
Hata kama kusoma tunajua ila si kila uandikacho lazima tuamini bila ushahidi wa kutosha. Tunahitaji hoja za kujenga ila siyo za kubomoa na kipambe mkuu.
 
hahahahahahah....huu sasa upuuzi...sisi CUF na CHADEMA tulikuwa tunajua kuwa tuko na Duni temporarily KWA sababu ya Katiba mbovu ya Tanzania inayokataza coallition ya poitical parties....

Kweli sana mkuu. kuna watu bado wana mawazo ya kizamaani na hasa bado wanayang'a ng'aniza hado leo wakati tuaganga yajayo. Nadhani nia yao ni kujaribu kuudhoofisha upinzani ndani ya hii nchi ila ukweli ni kwamba hawataweza hata wakizikiri uchi. Wapinzani bado tuna nguvu ya kutosha na hasa wasubiri bungeli likianza, kama tuliwapeleka puta tukiwa wachache kwenye bunge la 10 itakuwaje kwenye hilil???????????????????????????????????????????????? Ni mtazamo tu ila big up sana baba Lowassa kwa kutuwezesha hivi mkuu wangu wa ikaya/
 
Huyu jamaa huwa hasinzii kwa ajili ya CHADEMA

We We WE !!!!!!!!!!!!!!! Eti kwa nini asinzie wakati CDM Chama kubwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mungu ibariki CDM, Mungi mmbariki sana mkuu wetu Lowassa. Hivi mbona hamsemi amina??????????????? Makamanda mko wapi jamani?????????????????
 
Ukweli haufichiki, kimya hiki kuna mengi yakujiuliza ila acha muda ushike hatamu iko siku ukweli utawekwa na yeye mwenyewe
Hayo ndo maneno ya msingi mkuu na si poprojo za wanaoporojoa kijinga bila matiki utdhani wamekunywa urojo
 

You are a poor thinker., kwani shida ipo wapi? ivi hujifunzi Uchguzi uliopita umoja wa Ukawa ulivyoiangamiza ccm kuliko mazoea yao ya chama chako ccm kushinda uchaguzi asilimia hadi 80% na saivi kushuka hadi 58%??., shame upon you 2020

Ayo mengine uliyosema JK anasema ni siasa za maji taka ata mda wa kuzijadili sina.
 
Katiba hapa unaisingizia tu viongozi wako wenyewe hawataki coalition ya political parties, CHADEMA< CUF ni majina tu kama kweli wote wako wamoja wanashindwa nini kuhamia upande wa pili, Jembe liiteni jembe jamani.
wewe lazima utakuwa mjinga wa kwanza duniani

Unaelewa maana ya Coallition?
 

Mkuu mimi nakuhakikishia asilimia 500% CCM hawachomoki 2020..
 
Kwa hiyo mlitaka mpewe nchi temporarily pia?? Daaaa viroba noma sana kwa kweli

Baada ya kuingia tungeleta katiba mpya ambayo ndio msingi wa kila kitu iiwemo coalition ya Political parties

Usiwe unafikiria kama uko kwenye sinki la choo
 
Kani kuna sheria inayoruhusu wanasiasa kuchukuliwa kwa njia ya mkopo?
Kwani kuna sharia inayokataza wanasiasa kuchukuliwa kwa njia ya mkopo?

Wewe demu acha kuongea kama uko kwenye siku maalum
 
Kakaa kimya muda mrefu tetesi hizi huenda zina ukweli
 
hahahahahahah....huu sasa upuuzi...sisi CUF na CHADEMA tulikuwa tunajua kuwa tuko na Duni temporarily KWA sababu ya Katiba mbovu ya Tanzania inayokataza coallition ya poitical parties....
Hawa ni waandishi wa magazeti ya Uhuru na Mzalendo ni hatari tupu.

Wanaweza jifungia vyumbani mwao kuandika chochote juu ya upinzani hususani vyama vya coalition ya UKAWA na zaidi sana CUF na CHADEMA!
 
Wewe ni mdogo sana. Hujui nini kinaendelea
 
Babu Duni ameisaidia sana CUF ...kupata wabunge 10 Bara sio jambo dogo ......haitakuwa halali kwa wanna CUF Kama hawatatambua mchango wake ....alichofanya kinaitwa strategic Allience yaani ushirika kwa lengo fulani .....kazi ikiiisha kila mmoja anaendelea na msimamo wake ...
 
Lizaboni mi saa zingine unanifanya nikudharau we jamaa,mi ni mwanachadema pure na nakubaliana na wewe kwamba tulikosea kumpokea lowasa,na hizo habari za milion 500 siwezi kuzikataa kwa sababu lowasa kakaa kidilidili tu,ila nakudharau kwa sababu naamini unajua maana ya ukawa,sasa porojo za nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…