MwanaCBE
JF-Expert Member
- Sep 23, 2009
- 1,771
- 804
Mkuu hiyo in katiba yao wenyewe cut sio ya nchi,na Duni alishiriki kuipitisha
Babu Duni alilazimika kuhama chama kwa sababu sheria za hovyo zililazimisha ahame ili awe mgombea mwenza wa UKAWA.
Mkuu hiyo in katiba yao wenyewe cut sio ya nchi,na Duni alishiriki kuipitisha
Ukawa ni nini? Imesajiliwa wapi?Babu Duni alilazimika kuhama chama kwa sababu sheria za hovyo zililazimisha ahame ili awe mgombea mwenza wa UKAWA.
Ukawa ni nini? Imesajiliwa wapi?
Uchu wa madaraka ulimfanya asaliti itikadi yake,usisingizie sheria
UKAWAUkawa ipo vilevile, wewe unazungumzia vikao vya CUF na chadema au ukawa?
Kwa muda mrefu Babu Duni amekuwa kimya, kwenye medani ya siasa, hii sio jambo jema mwanasiasa kuwa kimya kiasi hiki,
Hivi bado yupo UKAWA? maana hata kwenye mikutano ya UKAWA sijawai kumuona au ndiyo "KIFO CHA MENDE MBENDEMBEDE CHALIII"
Ukawa haijakaa kikao chochote siku za karibuniUKAWA
FREE BRO MELO