ngumu kumeza hizi porojo zake. kwanza siamini kama kweli alishinikiza kupewa mil 550 wakati lengo lao hasa wa zenji ilikuwa ni kuongeza nguvu ya upinzani ndo maana walikuwa hata tayari kumpoteza Prof. Lipumba na kuungana na Lowassa ili kuihenyesha CCM. huwa naziamini habari zako ila hii umechemka.Wadau, amani iwe kwenu.
Hizi ni taarifa za uhakika nilizopata kutoka kwa chanzo muhimu kilicho jirani na Mwanasiasa Mkongwe, Juma Duni Haji ambaye aliamua kujivua uanachama wake wa CUF na kujiunga na CHADEMA kutokana na tamaa ya kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Babu Duni baada ya kujiunga na CHADEMA aliteuliwa kuwa Mgombea Mwenza akisaidiana na Edward Lowasa katika kampeni za kuelekea Magogoni.
Baada ya uchaguzi Mkuu ambapo CCM kupitia Mgombea Urais wake John Pombe Magufuli ilishinda uchaguzi huo huku ikinyakua viti vya kutosha kwa upande wa Wabunge na Udiwani. Matokeo hayo yalimuondoa Babu Duni kwenye siasa za Tanzania. Tangu wakati huo, hajasikika akikubali ushindi ama kukataa. Kitendo hicho cha kukaa kimya kimetafsiriwa kwa hisia tofauti. Wapo wanaodai kuwa Juma Duni amerejea CUF huku wengine wakimnukuu akisema kuwa atatoa hatma yake kisiasa ifikapo Januari Mwakani.
Kamera yangu ilizama Zanzibar ili kufuatilia nyenendo za mwanasiasa huyo na kutaka kujua juu ya ukimya wake. Kwa hakika niliyoyakuta ni hatareeeeee! Kwa kifupi Juma Duni Haji hayupo CHADEMA. Kamera yangu imenyaka sababu za mwanasiasa huyo kujiengua CHADEMA.
1. Kutolipwa madai yake ya shilingi milioni 200. Kama mnavyofahamu kuwa Juma Duni Haji aliahidiwa kitita cha shilingi milioni 550 ikiwa ataondoka CUF na kujiunga na CHADEMA. Baada tu ya kujiunga, Babu Duni alipata milioni 50 na aliahidiwa kiasi kingine angepewa kabla ya kampeni kumalizika. Mwezi mmoja baada ya kampeni, Babu Duni akaanzisha mgomo kwa lengo la kushinikiza alipwe kiasi anachodai ambacho ni milioni 500. Akaacha kushiriki mikutano ya kampeni. CHADEMA kupitia mgombea wao wa Urais wakaona jahazi linazama. Wakazama mfukoni na kumpa milioni 300 fedha ambazo zilitolewa na mmoja wa wafanyabiashara waliokuwa wanaunga mkono UKAWA. Kiasi cha shilingi milioni 200 zilizobaki walimuahidi kumlipa wiki moja kabla ya uchaguzi. Hata hivyo, mpaka sasa, Babu Duni hajalipwa fedha hizo na ndo maana ameamua kujiondoa CHADEMA.
2. Kukatika kwa mawasiliano na viongozi waandamizi wa CHADEMA na UKAWA. Babu Duni amesikika akilalamika kuwa hajapigiwa simu ama kuwa na mawaziliano ya ana kwa ana na viongozi waandamizi wa chama chake cha CHADEMA na UKAWA licha ya jitihada ambazo amekuwa akizifanya. Kwamba, kila anapowasiliana na viongozi wenzake, wanamjibu kuwa watampigia lakini wamekuwa hawafanyi hivyo. Anamshangaa hata Lowasa kwa kitendo chake cha kukaa kimya ilhali waliongea mengi na walipanga mikakati mingi ya maisha baada ya uchaguzi lakini hakuna kinachoendelea.
3. Vijembe na kejeli kutoka kwa makada wa CUF. Babu duni amesikika akilalama kuwa anapewa vijembe na viongozi na wafuasi wa CUF kwa kitendo chake cha kukisaliti chama hicho na kujiunga na CHADEMA. Anasema kuwa CUF inamuona kama ni msaliti na kwamba uamuzi wa yeye kwenda CHADEMA ulifanywa na Maalim Seif Sharif Hamad pekee.
Kutokana na sababu hizi na nyingine nyingi, Babu Duni anasema kuwa haoni umuhimu wa kuendelea kubaki CHADEMA. Anasema kwa sasa anaendelea kutafakari na soon atatoa hatma yake kisiasa. Anasema kuwa kuna mambo mawili anayatafakari. Ama kurejea CUF na kuendelea maisha ya kisiasa ama kustaafu siasa. Tusubiri tuone.
Nawasilisha
Wadau, amani iwe kwenu.

Poe sana ndugu. Wewe ni mtoto mdogo sana kuweza kuyajua haya. Mengi niliyoandika yamekuwa yakitokea. Subiri soon utaujua ukweliHii habari si ya kweli imejaa chembe za chuki fitna majungu
Ushankupe
Kujikomba
Kujikweza
Uzandiki
Kuwashwa washwa
Mumpuuze huyu mtu Mpaka sasa Juma Duni Haji hajatoa statement yoyote juu ya uanachama wake.
Unachokifanya hapa ni KUJITEKENYA WE MWENYEWE
Kwanza nashukuru kwa pongezi zako. Kuhusu Nkumba, ni kweli alidhamiria kuhama CCM. Na alifanya hivyo kwa dhati ya moyo. Kilichotokea ni kwamba baada ya kuhama, hakupokelewa vizuri na CHADEMA Sikonge na hakupata nafasi ya kugombea ubunge kama alivyotarajia. Akabaki njia panda. Baada ya kutafakari sana akaona ni bora abaki mtu wa kawaida akiwa na imani yake ya CCM kuiko kuwa raia upinzani. Ndo maana akarejea fastaLizaboni. Mimi nimiongoni mwa wana JF wanaokubali sana Na kuamini ushushushu wa Habari zako mara nyingi zinakuwa Za Kweli.maana kwa hadhi yako Habari Za ubuyu hazina nafasi upo kwenye ulimwengu mwingine sio Pale chuoni Moshi. Swali: Kwani Babu Duni Na Kijana we2 aliyekuwa mbunge wa sikonge- Said Nkumba ninani aliyekaa sana upinzani kabla ya Kurudi chama chake cha awali? Naona kama Babu Duni kavumilia kakaa sana. Yule mwingine ni pure maigizo.Siasa ni mchezo wa kuangalia maslahi.Naomba maelekezo yako Mkuu
"HAPA KAZI 2"
Mkuu, unanikumbusha ya yule Ngongoti wa Simba ambaye baada ya dirisha dogo kuanza walilazimika kuvunja mkataba wakeDuuh huu usajili wa babu duni ulikua ghali sana kabla ya dirisha dogo kufungwa akaomba chake.
Inaonekana hakucheza vizur ligi viongozi kuona hivyo baada ya ligi kuisha kombe lenyewe wamekosa wakamua kuaachana nae kienyeji kama time za mchangani
So what @LizaboniMkuu Bramo, hizi ni facts ambazo wewe hauna
Mkuu, mimi kwa dhati ya moyo wangu naamini kwamba Duni alienda CHADEMA for convinience tu kutaka kupata cheo cha umakamo wa Rais wakidhani kwamba UKAWA watashinda. Siamini hata kidogo kwamba Duni alienda CHADEMA kwa mapenzi yake mema kwa chama hicho na hivyo kuitupa mkono CUF. Naamini kwamba anayo kadi ya CUF na huenda ameisharejea CUF kitambo.Wadau, amani iwe kwenu.