Juma Duni Haji ajiengua Rasmi CHADEMA

Cdm inawanyima usingizi nyinyi ma ccm
 
tutaimiss ile misemo yake ya taarabu,lakini angeongea hata na aisha mashauzi au mzee yusuph amewe nafasi kwenye jukwaa,tusikubali kipaji kupotea hichi.
=Amewe?wewe kweli ni mashauz
 
Yaani kalipwa 350,000,000/- bado anadai nyingine hapo kwa kiasi hicho cha fedha ni wazi umechemka Dada yao.
 
Lumumba bwana mnahangaika na chadema kila kukicha, wakati mankontena bandarini yanapotea na menginr yaingia bila kulipiwa ushuru, ovyo kabisa ninyi
 
Kwani akiondoka ndiyo chama kimekufa? Umbea na porojo huko mlikozoea achen chama cha Cdm, kiwe kimya au kiongee haimuhusu mtu.
 
Mi ndio maana nawaitaga watu wa Lumumba mazwazwa..hivi unashindwa hata kujua kwamba babu duni alijiunga na chadema ili kutimiza masharti ya kikatiba yanayomtaka mgombea urais na mgombea mwenza kutokea chama kimoja na ilipaswa ili kudumisha muungano wa ukawa basi cuf itoe mgombea mwenza???hivi mda wa kutengeneza upuuzi uliouita sababu za duni kuondoka chadema umeutoa wapi mkuu???
 
Ukumbuke kutuhabarisha na upuuzi unaondelea CCM wa kumkandia Magufuli na faulu za uchaguzi Zanzibar na kama ikithibitika taarifa hii sio sahihi ntawaomba @Invisible akupige BAN ya maisha kwa kusambaza umbea
 
Ushankupe,uzandiki,kujikomba na kuwashwawashwa ndio tunu za mazwazwa ya Lumumba..ndio maana wakaondoa zile za warioba!!!
 
Kwahiyo Haya Uliyoyaandika Ndio, Hiyo Taarifa Ya Kujiengua Kwa Huyo Uliyemtaja Ilivyo Toka Hicho CHANZO Chako Ulichoogopa Kukianisha, Au Ni Utenzi Wako Mwenyewe Tu!!!!?
 
Chezea Mbowe we hata hiyo tatu unusu uliyopata ushukuru mungu we unafikiri mpaka Dr. Slaa kuachia ngazi ni mchezo hiyo ndiyo Chaga Development manifesto kama ulikuwa hujui muulize Zito.
 
Asante mkuu kwa kutujuza huu ni ukweli usio na shaka yeyote ingawa Nyumbu wataukana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…