Juma Duni Haji ajiengua Rasmi CHADEMA


  1. Poe sana ndugu. Wewe ni mtoto mdogo sana kuweza kuyajua haya. Mengi niliyoandika yamekuwa yakitokea. Subiri soon utaujua ukweli
Na uzee wangu huu umenitukana?? Loh mi na utu uzima wangu waniita MTOTO?? hii hatari ya Jf
 
Humu watu wanacomment tu hawajua maafikiano na cuf na chadema juu ya kusimamisha rais na makamu wake
kWa hiyo kulikuwa na makubaliano ya siri..ambayo wananchi hatukutakiwa kuyajua?
 
Mwenzie anachunga Ng'ombe sasa yeye labda akavue samaki
 
Yuko wapi huyu babu alikuwa kivutio kikubwa sana kipindi cha kampeni daah, simsikii hata katika siasa za CUF maana alirudi tena chamani mwake
 
Yuko wapi huyu babu alikuwa kivutio kikubwa sana kipindi cha kampeni daah, simsikii hata katika siasa za CUF maana alirudi tena chamani mwake
Duni alitaka kugombea uenyekiti wa cuf kuziba pengo la lipumba akawekewa pingamizi,uchaguzi ukaota mbawa na yeye amenuna hadi leo
Katiba y cuf inasema mwanachama mpya haruhusiwi kugombea uongozi wa juu hadi atimize miaka miwili,sasa Duni ana miezi sita tu tokea ajiunge na cuf toka chadema!
Babu duni chali,kifo cha mende
 
Kama alivyokuwa anawaambia
Wenzake chali kifo cha mende
Ndembendembe miguu juu
 
Du! mwambieni aje CCM tutampatia jimbo
 

Matokeo ya sheria za kipuuzi chini ya serikali za kidikteta
 

Yaani Mwenyekiti na Katibu mkuu wote watoke Pemba wacha zako pamoja na kwamba mimi si mwanachama wa CUF hiyo kitu hakuna.
 
Yaani Mwenyekiti na Katibu mkuu wote watoke Pemba wacha zako pamoja na kwamba mimi si mwanachama wa CUF hiyo kitu hakuna.
Mkuu kumbukumbu zangu zinaonesha uliwahi kuwa muwakilishi wa cuf Arusha
IPO thread humu unamlaani sefu kaja Arusha mikono mitupu au ulibadili gia kama akina Bubu ataka Kusema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…