hatuwezi chagua mwizi igunga tushazinduka baba
** Hizo picha zinaonyesha tarehe ya nyuma hilo ni kosa la kamera nilikuwa sijarekebisha tarehe kwa hiyo Marumumba hiyo haitakuwa issue**
View attachment 297216 View attachment 297217
Hatuwezi chagua mwizi igunga tushazinduka baba
Mkuu hii ndo inanifanya nihoji sasa! Kwa nini usingerekebisha tarehe na unajua tunamtafuta Babu Duni wiki 3 sasa mnashindwa kuweka picha au video?
Mkuu hii ndo inanifanya nihoji sasa! Kwa nini usingerekebisha tarehe na unajua tunamtafuta Babu Duni wiki 3 sasa mnashindwa kuweka picha au video?
Kama umeisikiliza VIDEO sidhani kama unaweza kuandika ulichokiandika kwani tarehe inaonyesha ni 1 january 2011 je wakati huo Babu Duni alikuwa CHADEMA?
Kwani tatizo ni nini, unaamua tu kuamini au kutoamini. Kisha unaendelea na nyuzi nyingine.Ni kweli lakini inaweza ikawa imechukuliwa Agosti 25 2015 pia. Hakuna ushahidi kuwa footage ni ya leo na nafasi ipo kuweka tarehe ya leo. Ndo nasema it's questionable!
Kwani tatizo ni nini, unaamua tu kuamini au kutoamini. Kisha unaendelea na nyuzi nyingine.
Kuna mwizi zaid ya ccm? Magufuli kuna alichochangia kwenye ilani zaidi ya kusibiri kila kitu kutoka kwa wenye chama? Je, wakat anatafuata wadhamini ndani ya chama zaid ya kusema anasubiri ilani ya ccm kuna kitu amezungumza? Kwa ujumla hana vission ya kuongoza taifa zaidi ya mtu aliyezoea kupangiwa majukumu!
Ndio maana yeye nikushangaa tu!
Kwanini ccm wamemchagua anashngaa! Kwanini nchi ni maskin anashangaa
Tunataka Rais anayeijua Tz siyo wa kushangaa
Daaah pole sana mkuu nyie chagadema sijui mna matatizo gani, Mkiambiwa Lowassa ni taasisi na akiwa Rais atafanya vile atakavyo mnasema Lowassa lazima afanye kutokana na Ilani ya Chadema /ukawa. Ila kwa Magufuli kusema anasubir Ilan na atafuata Ilani we unasema hana vision mbona mnashindwa kueleweka
Leo mnamo saa nne asubuhi Mh. juma duni Hadji amepita Igunga na kuwasalimia wananchi na kuwapongeza kwa kumpokea kwa wingi huku akiwaambia wafanye jambo sahihi ifikapo 25 Oct ili wananchi waweze kupata neema ya kupata huduma bora za Afya, Elimu miundombinu N.k aliongea mengi lakini naomba niishie hapo kwani lengo langu ni kutaka kuwafahamisha wale ambao kila wakiamka wanaulizia huyu Mh. yuko wapi kwa hiyo nawaambia kuwa Juma Duni Haji anapiga kazi na anakimbiza Mwizi (CCM) kimya kimya
** Hizo picha zinaonyesha tarehe ya nyuma hilo ni kosa la kamera nilikuwa sijarekebisha tarehe kwa hiyo Marumumba hiyo haitakuwa issue**
View attachment 297216 View attachment 297217