Juma Duni apita Igunga na kusalimiana na wana Igunga

Juma Duni apita Igunga na kusalimiana na wana Igunga

Kama umeisikiliza VIDEO sidhani kama unaweza kuandika ulichokiandika kwani tarehe inaonyesha ni 1 january 2011 je wakati huo Babu Duni alikuwa CHADEMA?

Achana na taahira hilo lilishazidiwa kiboga!
 
Wee kweli kiboga ni wa Igunga, yaani unaleta picha za kichovu namna hiyo? You can do better than that my broda!!
Wewe umevurugwa kila mtu unafikiri ni mwandishi wa habari? hapa tunachoweka ni taarifa na lengo kubwa la taarifa yangu ilikuwa kuwafahamisha wale waliokuwa wakiuliza Babu duni yuko wapi.
 
Wewe umevurugwa kila mtu unafikiri ni mwandishi wa habari? hapa tunachoweka ni taarifa na lengo kubwa la taarifa yangu ilikuwa kuwafahamisha wale waliokuwa wakiuliza Babu duni yuko wapi.
Mkuu hutaniwi hata kidogo?
 
Back
Top Bottom