Julius Nyerere: Siwezi kuacha nchi yangu iangukie mikononi mwa mbwa!

MKUBHWA,

NYERERE hakuwa anamaanisha MREMA peke yake. MWL alikuwa akimaanisha 'mbwa na vijiumbwa' ndani na nje ya CCM: REJEA (1) KITABU 'UONGOZI WETU NA HATIMA YA TANZANIA'; (2) HOTUBA YA YAKE MEI 1, 2005; NA (3) HOTUBA KWA NEC CCM NA MKUTANO MKUU TAIFA CCM. MWL ALIHAKIKISHA WANATUTAWALA SASA NA WALIO NJE KAMA KINA JOHN SIGWEYAMISI ANAWATEKEKTEZA KISIASA.

NI KWELI LAKINI, AKIFUFUKA ATAJILAUMU KWA KUTOA KAULI ILE KWANI ATAGUNGUA KUWA HATA WALE ALIOAMINI KUWA SI MBWA, KUMBE NDO MAMBWAMWITU!
Mwalimu Nyerere hakuwa mnafika kama Cardinal Pengo. Hakuwahi kumungunya maneno, hakutaka asifiwe bali alieleza wazi kile alichokiamini. Hakunaga kama Mwalimu.
 
Back
Top Bottom