Julius Nyaisanga (Mtangazaji wa zamani Radio One na Mkurugenzi wa Abood Media) afariki dunia

Kertel

JF-Expert Member
May 11, 2012
5,273
4,976
Aliyekua mkurugenzi wa Abood media bwana Julius nyaisanga,amefariki dunia huko Morogoro katika hospitali ya Mazimbu aliipo chuo kikuu cha sokoine cumpus ya mazimbu.
More to come

=========
 
BREAKING NEWS: Mwanahabari
maarufu Julius Nyaisanga a.k.a Uncle Jay amefariki dunia leo asubuhi katika hospitali ya Mazimbu
mjini Morogoro.

Nyaisanga ambaye alikuwa ni Meneja wa Abood Radio na Abood TV, pia amewahi kuwa mtangazaji na mkurugenzi wa zamani wa
ITV Tanzania & RadioOneStereo
amefariki dunia kwa matatizo ya kisukari na presha.

MUNGU AILAZE ROHO YAKE
MAHALI PEMA
PEPONI
 
Mungu awape nguvu ya kustahimili na kuendelea kumtafuta na kumtumikia Mungu wetu kwa bidii ndugu na jamaa wote wa Julius Nyaisangah.

RIP uncle J.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…