Julius Mtatiro ndani ya SAUT-Mwanza leo


punguza jazba mkuu
 
Mkutano na wanafunzi unaendelea vizuri kwani umeuzuliwa na wanafunzi kutoka vyama vyote vya cuf,chadema na ccm na hata mwenyekiti wa chadema saut kasimama na kuuuliza swali pamoja na kutoa maoni yake ni mazuri,pia katibu wa ccm saut nae kasimama na kuuliza swali pamoja na kutoa maoni yake wote wamejibiwa na kuridhika
 
Kuhusu mauaji ya wanachama wa cuf mwaka 2001, Mtatiro anadai Mkapa afikishwe The Hague ktk mahakama ya ICC
 

sawasawa mkuu me mwenyewe nipo hapa ukumbini namsikiliza jamaa
 
Bado yupo?mbona mnapoteza muda kumsikiliza mtu asiye na akili timamu...anatoka mapovu tu mwili mzima
 

cuf waliwahi kuilaani Israel wakati wa operesheni cust a lead. Ni chama kibaraka wa Hosbollah na Hamas. Jiulize kwa nini wasilaani maroketi badala yake wana laani hatua ya kujitetea ya Israel? hapo ndipo walipopoteza heshima katika Africa mashariki !
 

Udini at work
 

Jussa:Tumeshindwa Uzini kwa sababu ya Wakristo na Wabara
 

Tamko la Jussa kuhusu kushindwa uchaguzi jimbo la Uzini kuliiacha CUF uchi wa mnyama
 

Hivi mkuu wangu wataiteteaje Israel ukilinganisha na tamko la Jussa la Uzini?
 
Bado yupo?mbona mnapoteza muda kumsikiliza mtu asiye na akili timamu...anatoka mapovu tu mwili mzima

Mkuu wangu ataachaje kutoka mapovu huku chama chake kimetoa kauli ya kibaguzi huko Uzini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…