Julius Mtatiro: CHADEMA ni chama cha matapeli, wahuni

Kweli ujafa ujaumbika nimeamini wahenga
 
Mtatatiro kawa kituko badala ya kumnadi kilaza mwenzake waitara kwa Sera za maendeleo kaamua kujiingiza kwenye Majungu fitna za kishamba
 
Chadema ni chama cha hovyo kuwahi kutokea duniani.

Kwenye kamati kuu tulipendekeza Yericko Nyerere awe mwenyekiti wa chama lakini tukapuuzwa.
 
Toka kichaa aseme huwa anateua vichaa wenzake naona mtatiro ameamua kuwa kichaa ili angalau afikiriwe kwenye ufalme wa jiwe

Jenny muro yeye matusi dhidi ya Chadema na Lissu yamemfanya kuzawadiwa ukuu wa wilaya, hivyo mtatiro itabidi aongeze speed ya majungu, udaku na ujinga mwingine dhidi ya Chadema, kinyume na hapo nafasi za uteuzi atazisikia tu
 
Nimeamini mtu kula matapishi yake
 
Kweli kabisa baada ya kuitapeli cuf kuhusu ule umoja feki sasa wanataka kuwatapeli kwa kumchukua maalimu seif jumla!
 
Alivyokuwa cuf anataka uenyekiti alisema lipumba ni bwana yule ( lipumbavu
Leo hii kaenda ccm anamsafisha lipumba kiaina na kuwaita chadema ni matapeli ,wahuni ,wabinafsi
Yale Yale ya lipumba anawaona chadema kama wasanii wa kisiasa yeye alijifanya kipofu kwa sababu alikuwa na agenda ya siri
Leo analitaka jimbo la segerea au ujoketi
Anapita mule mule kwa lipumba kweli njaaa mbaya.
 
Hatari sana hii duh..yamekuwa hayo tena.
 
Tanzania ni moja ya nchi yenye wasomi wajinga sana, wasomi wa nchi hii hawana tofauti na wasio na elimu hata ya darasa la kwanza

Na mtu akihamia ccm tu uwezo wake wa kufikiri na kutenda hushuka sana
Kuna mtu mmoja hapa jukwaani alisemaga kuwa mtu akiingia lumumba elimu yake huwa anaiwacha getini
 
Mnaleta habari nusunusu au mimi nd'o sielewi? Matatizo ya Ukonga yanazungumziwa kwenye hizi kampeni au topic ni chadema tu? Maana ninavyoijua Ukonga ina matatizo mengi sana.
 
Atuache na sisi tukifikisha miaka 10 tutahama..
Yani Kuna wahuni zaidi ya 6 million walipiga kura 2015 !! Akiwemo na yeye..
Njaa mbaya sana, Unahama CUF Matusi unaitukana Chadema duh!
Hapo sasa ndipo namdharau huyu kwangu pakavu
 
Reactions: prs
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…