Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,349
- 8,081
!
!
Angenyamaza Tu Walahi.
!
Angenyamaza Tu Walahi.
Ameshafeli awaulize wenzake waliohamia upande wa Kijani walipo,hawana ushawishi tena,Lipumba,Slaa etc KWISHA kabisa.
Ukishaenda KIJANI basi na safari inaishia hapo hapo,MTATIRO na yeye kashakwisha ukienda kwenye instagram yake watu wanampiga za uso kuanzia coment ya kwanza hadi ya mwisho hakuna anayemsupport.Mwenzie fredd Mpendazoe kahangaika sana kuukashifu upinzani hapa JF mpaka kachoka kaamua kunyamaza sasa ni zamu yako na wewe Julius Mtatiro
Siku hizi shortcut ya kupata uteuzi toka kwa Jiwe Kichaa ni kuishambulia Upinzani na hususan CHADEMA hata kwa hoja ya kijinga kiasi gani.Na Julius Mtatiro
Nimeiona hoja ya ndimi mbili; kwamba zamani niliisema sana CCM, leo naitetea na najipendekeza CCM. Kwamba jana nilisimamia hiki, leo nasimamia kile.
Katika siasa hiyo ni CHANGE OF POSITION kulingana na wakati na maamuzi ya mtu au taasisi, nitawapa mifano miwili;
1. Baada ya Rais Karume Jr wa Zanzibar kushinda urais wa Zanzibar mwaka 2005, CUF ilipinga ushindi wake, ikakataa kutambua urais wake. CUF ilizunguka Zanzibar nzima ikihubiri kuwa uongozi wa CCM ni wa kidhalimu, uongozi wa Karume ni haramu na serikali ya Karume ipingwe usiku na mchana.
Baadaye CUF ilipojitafakari sana, hasa Katibu Mkuu Seif Sharif na viongozi wa Zanzibar wakaona ni muhimu kutafuta suluhu na Rais Karume ili mambo yaende.
CUF ile ile ambayo ilizunguka nchi nzima kusema Karume Jr hafai, ni mbaya na asiungwe mkono, ikaitisha mkutano Kibandamaiti kutangaza kumtambua Rais Karume kama Rais, kuitambua CCM kama chama kinachoongoza Zanzibar na na kutangaza kumuunga mkono Karume Jr.
Hiyo inaitwa CHANGE OF POSITION, CUF iliona haitaleta manufaa yoyote kwa Zanzibar ikiendelea na msimamo wa kipuuzi wa kutomtambua Karume Jr. Unaweza kuiita CUF ndimi mbili?
2. CHADEMA na viongozi wake (najua wanaongoza kunishambulia mitandaoni tangu niondoke upinzani), walifanya kazi kubwa ya kuueleza umma wa watanzania namna Lowassa alivyo mchafu na fisadi wa kutupwa. Mashabiki mmesahau?
Baada ya miaka 7 ya kumchafua Lowassa mwaka 2015 SUMMIT YA UKAWA (Viongozi wakuu; Freeman, Lipumba, Mbatia n.k) wakamleta Lowassa yuleyule kuwa mgombea Urais wa upinzani, nakumbuka kwenye kampeni za 2015 sote tuliogombea hatukuwa na option zaidi ya kumnadi Lowassa kama mgombea wa upinzani.
Halafu watu wale wale waliomtukana Lowassa kwa miaka 7 baadaye akawa mgombea wao nimewaona wanahangaika sana na Mtatiro, wanasema Mtatiro amefanya dhambi kubwa kujiunga CCM aliyokuwa anaipinga, au kumuunga mkono Rais JPM.
Wanasema Mtatiro ni Msaliti kwa kujiunga CCM. Hizi ni frustration za hali ya juu sana. Kwa sasa Mtatiro hawezi kuokoa kuzama kwa vyama vilivyojengwa kwenye misingi ya watu binafsi, vyama ambavyo mtu fulani akitoka vinakufa, vyama ambavyo vimeshindwa kwa miaka 20 kuishi yale ambayo vinayahubiri.
Kweli kabisa, kumbukumbu wanazo misukule tuToka lini nyumbu wakawa na ubongo wa kumbukumbu?
Haswaaa!Mtatiro sema ukweli we si ulidai account zako zilifungiwa that’s why ulihama na pia ukadai mtoto wako alitaka kutekwa ukamkimbiza Nairobi Na kwa kua account zako zimefungwa unashindwa kumlipia ada ndio ukaona uende CCM au umesahau ulichokisema wakati unaenda kwenye usaili ili uende short course marekani ?

Julius Mtatiro Umefanya vijana wawadharau sana wana siasa wa watanzania bora ukae kimyaNa Julius Mtatiro