Mwambie Mtatiro kwamba demu uliemuacha usisumbuke kumuongelea tena mbele ya demu wako mpyaNa Julius Mtatiro
Nimeiona hoja ya ndimi mbili; kwamba zamani niliisema sana CCM, leo naitetea na najipendekeza CCM. Kwamba jana nilisimamia hiki, leo nasimamia kile.
.
.
Katika siasa hiyo ni CHANGE OF POSITION kulingana na wakati na maamuzi ya mtu au taasisi, nitawapa mifano miwili;
.
.
1. Baada ya Rais Karume Jr wa Zanzibar kushinda urais wa Zanzibar mwaka 2005, CUF ilipinga ushindi wake, ikakataa kutambua urais wake. CUF ilizunguka Zanzibar nzima ikihubiri kuwa uongozi wa CCM ni wa kidhalimu, uongozi wa Karume ni haramu na serikali ya Karume ipingwe usiku na mchana.
.
.
Baadaye CUF ilipojitafakari sana, hasa Katibu Mkuu Seif Sharif na viongozi wa Zanzibar wakaona ni muhimu kutafuta suluhu na Rais Karume ili mambo yaende.
.
.
CUF ile ile ambayo ilizunguka nchi nzima kusema Karume Jr hafai, ni mbaya na asiungwe mkono, ikaitisha mkutano Kibandamaiti kutangaza kumtambua Rais Karume kama Rais, kuitambua CCM kama chama kinachoongoza Zanzibar na na kutangaza kumuunga mkono Karume Jr.
.
.
Hiyo inaitwa CHANGE OF POSITION, CUF iliona haitaleta manufaa yoyote kwa Zanzibar ikiendelea na msimamo wa kipuuzi wa kutomtambua Karume Jr. Unaweza kuiita CUF ndimi mbili?
.
.
2. CHADEMA na viongozi wake (najua wanaongoza kunishambulia mitandaoni tangu niondoke upinzani), walifanya kazi kubwa ya kuueleza umma wa watanzania namna Lowassa alivyo mchafu na fisadi wa kutupwa. Mashabiki mmesahau?
.
.
Baada ya miaka 7 ya kumchafua Lowassa mwaka 2015 SUMMIT YA UKAWA (Viongozi wakuu; Freeman, Lipumba, Mbatia n.k) wakamleta Lowassa yuleyule kuwa mgombea Urais wa upinzani, nakumbuka kwenye kampeni za 2015 sote tuliogombea hatukuwa na option zaidi ya kumnadi Lowassa kama mgombea wa upinzani.
.
.
Halafu watu wale wale waliomtukana Lowassa kwa miaka 7 baadaye akawa mgombea wao nimewaona wanahangaika sana na Mtatiro, wanasema Mtatiro amefanya dhambi kubwa kujiunga CCM aliyokuwa anaipinga, au kumuunga mkono Rais JPM.
.
.
Wanasema Mtatiro ni Msaliti kwa kujiunga CCM. Hizi ni frustration za hali ya juu sana. Kwa sasa Mtatiro hawezi kuokoa kuzama kwa vyama vilivyojengwa kwenye misingi ya watu binafsi, vyama ambavyo mtu fulani akitoka vinakufa, vyama ambavyo vimeshindwa kwa miaka 20 kuishi yale ambayo vinayahubiri.
Mtatiro siyo yeye anayeongea. ni zile 60M.Na Julius Mtatiro

Julius MtatiroMtatiro alikua ananitukana sana kuwa kwanini kama kijana nipo CCM, sina uwezo wa kufikiri..
Ila hakuweka akiba ya maneno, karibu Mtatiro CCM mimi sitakupa yale maneno yako makali.. Ubaya Mtatiro hayupo JF kwa I'd yake verified
Naomba nimjibu hivi- yeye kununuliwa na ccm ndicho kinachofanya hao wenzake wa miaka mingi wamchukie! Hilo tu,Na Lowassa anayemzungumzia naye pia hapendwi na maccm kwa kuwa naye aliasaliti na kuhamia upinzani tena baada ya kuwatoa jasho kwa zaidi ya miaka sita wakimtetea kwa kashfa ya ufisadi iliyokuwa ikimkabili,two wrongs can't make one right! Mtatiro ana laana ya wana Cuf halafu anailaumu chadema! Dr Slaa aliondoka chadema akiwa katibu mkuu!Lipumba aliondoka Cuf akiwa mwenyekiti,wote wanalaumiwa na vyama vyao kwa maamuzi hayo ila inategemea na dhamira yao na malengo yao huko waliko! Kwa hiyo Mtatiro hawezi kuwanyima watu haki yao ya kumshutumu ikiwa ni yeye ndiye aliyewapa sababu ya kumshutumu! Atulie,asonge mbele,na ataendelea kulaumiwa tu!Ajibiwe sio kumzodoa
Hili andishi linathibitisha zaidi kwamba Mtatiro, kama ndiye ameliandika, basi yuko frustrated!
Ukubali una hulka ya upopo au bendera, kufuata upepo. Inahitaji akili, uvumilivu na belief in core values kama democracy, freedom of speech, justice for all, good governance etc ku remain with UKAWA. Wewe sasa umeyapa kisogo hayo yote! Tukuite msomi?Na Julius Mtatiro
Nimeiona hoja ya ndimi mbili; kwamba zamani niliisema sana CCM, leo naitetea na najipendekeza CCM. Kwamba jana nilisimamia hiki, leo nasimamia kile.
.
.
Katika siasa hiyo ni CHANGE OF POSITION kulingana na wakati na maamuzi ya mtu au taasisi, nitawapa mifano miwili;
.
.
1. Baada ya Rais Karume Jr wa Zanzibar kushinda urais wa Zanzibar mwaka 2005, CUF ilipinga ushindi wake, ikakataa kutambua urais wake. CUF ilizunguka Zanzibar nzima ikihubiri kuwa uongozi wa CCM ni wa kidhalimu, uongozi wa Karume ni haramu na serikali ya Karume ipingwe usiku na mchana.
.
.
Baadaye CUF ilipojitafakari sana, hasa Katibu Mkuu Seif Sharif na viongozi wa Zanzibar wakaona ni muhimu kutafuta suluhu na Rais Karume ili mambo yaende.
.
.
CUF ile ile ambayo ilizunguka nchi nzima kusema Karume Jr hafai, ni mbaya na asiungwe mkono, ikaitisha mkutano Kibandamaiti kutangaza kumtambua Rais Karume kama Rais, kuitambua CCM kama chama kinachoongoza Zanzibar na na kutangaza kumuunga mkono Karume Jr.
.
.
Hiyo inaitwa CHANGE OF POSITION, CUF iliona haitaleta manufaa yoyote kwa Zanzibar ikiendelea na msimamo wa kipuuzi wa kutomtambua Karume Jr. Unaweza kuiita CUF ndimi mbili?
.
.
2. CHADEMA na viongozi wake (najua wanaongoza kunishambulia mitandaoni tangu niondoke upinzani), walifanya kazi kubwa ya kuueleza umma wa watanzania namna Lowassa alivyo mchafu na fisadi wa kutupwa. Mashabiki mmesahau?
.
.
Baada ya miaka 7 ya kumchafua Lowassa mwaka 2015 SUMMIT YA UKAWA (Viongozi wakuu; Freeman, Lipumba, Mbatia n.k) wakamleta Lowassa yuleyule kuwa mgombea Urais wa upinzani, nakumbuka kwenye kampeni za 2015 sote tuliogombea hatukuwa na option zaidi ya kumnadi Lowassa kama mgombea wa upinzani.
.
.
Halafu watu wale wale waliomtukana Lowassa kwa miaka 7 baadaye akawa mgombea wao nimewaona wanahangaika sana na Mtatiro, wanasema Mtatiro amefanya dhambi kubwa kujiunga CCM aliyokuwa anaipinga, au kumuunga mkono Rais JPM.
.
.
Wanasema Mtatiro ni Msaliti kwa kujiunga CCM. Hizi ni frustration za hali ya juu sana. Kwa sasa Mtatiro hawezi kuokoa kuzama kwa vyama vilivyojengwa kwenye misingi ya watu binafsi, vyama ambavyo mtu fulani akitoka vinakufa, vyama ambavyo vimeshindwa kwa miaka 20 kuishi yale ambayo vinayahubiri.
Kwa maneno mengine siyo ustaraabu wanafiki kunyoosheana vidole.Na Julius Mtatiro

Ha ha haaaNaona unamkumbusha jiwe kakusahau kama upo ili akakuteue nafasi ya Canada