Julius Malema wa Tanzania yuko wapi?

james miliya

You are absolutely right. James Ole Millya can and has always taken the BULL by the horns.
Courageous,fearless,patriotic and always believe in what he is preaching. Nor has he ever been intimidated by the establishment. . .
 



Kwani nyerere ana makosa mangapi ya kiuongozi na kimaadili ambavyo ni vitu muhimu? Sasa huu mmong'onyoko wa maadili ya wamu ya 2, 3 na hii ya 4 ni kwa sababu ya Nyerere binafsi? nafikiri kuna good elements katika hao wazee wa Nyerere kuliko wewe unavyofikiria hawa vijana wamekua ni vibaraka na watumwa wa mfumo wa kifisadi.

Nafikiri Neo-coservatives kama Sitta ni wazuri wanataka kurudi kwenye maadili ya uongozi ya Nyerere. Hii system haiwezi kuleta vijana wazalendo kama huyo Malema unayemsifia ambaye nae ana nyumba ya $700,000 na magari mengi ya kifahari na anapenda mapumziko kwenye yatch za kukodisha (sijui ni juhudi binafsi za ujasiria mali au ni matunda ya ufisadi wa Black Economic Empowerment au BEE). Nape alijitahidi ila nae baada ya kuonja mateso ya kupigwa vita ya ndani ya kichama sasa amepoteza umakini na hajiamini tena kama zamani, huyu Mwigulu simjui vizuri, Wengine akina Malisa, Bashe, january etc etc tunajua mkate wao unatoka wapi. Ila usikate tamaa kijana tutafika
 
Last edited by a moderator:
Mi namwona John Suguta Heche kama mtu anayeweza endana na spirit za kama akina Malema Julius

Yap. Kamanda Heche anaweza, kutokana na background yake katika upambanaji, committed, dedicated and has spirit to the struggle...lakini lazima awe makini siasa za Tanzania hazijawa stable sana kama hao wenzetu. ANC ni chama kikubwa, it is already a very big institution inaweza ku handle hadles kama hizo na ikaendelea kuwa strong, Malema akiwa kiongozi wa vijana na Zuma akiwa Rais...hapa maana yake lazima tuangalie kwa jamii yetu CDM ikipata such events inaweza kueleweka?
 
julius malema wa tanzania ni ben saanane

Walipokutana Nairobi nasikia wakanzisha movement network yao ya siri mwenzao alipofika zimbabwe akaswekwa ndani na Mugabe na wa botswana yupo kizuizini hadi leo, jeshi letu la polisi sijui liko wapi huyu wa kwetu Saanane yupo huru? na hata maneno aliyotoa malema ya kupindua serikali za botswana na malawi hazitofautiani na Mtazamo wa ben Saanane.Kizazi cha aina hii ni hatari sana kwa Africa.Chadema mlifanya vizuri kumuengua angewaletea balaa.kuna siku nilileta status zake za facebook na michango yake kwenye mitandao nikaishiwa kufungiwa
 


Muda wa Extremist umeisha.....hatuhitaji racists.Malema na Saanane kama mapacha katika siasa zao ni racists na extremists.Tanzania ni nchi ya amani wahamie huko.ona hapa mchango wake kuhusu Gaddafi na kule wanabidii pia

" Africans especially black Africans are their own worst enemy.Now ghaddafi might not have been a saint but then again show me a saint in the world.It is a matter of "who has not sinned cast the first stone".This whole event to get rid of ghaddafi was a plot put together by the western powers for their own interests.

We are witnessing the colonizing of africa 2.0 and obama is the man in the driving seat.Obama has basically hod winked all of africa and will deliver africa as a prize to his white masters.Namshangaa Mwanamapinduzi niliyemuamini na ninayemuheshimu Comrade Yoweri Kaguta Museveni kuruhusu America kumsaka kony,ni kwa nini asingeomba msaada kutoka AU? Hata comrade Mugabe atakuwa anashangaa sana.Sijawahi ona mwanamapinduzi wa kweli aki-trade na mabazazi wa kibeberu!

You have been warned. Keep believing the western media propaganda like cnn,sky,fox etc. I have stopped watching those channels long time ago.

Rule of thumb for you guys, If a western country like america or britain is against a leader of a country stop and think. The leader must be doing something fundamentally right.If western government like the leader of country then your leader must be doing something fundamentally wrong.
"
 
Dr. Andrew Hamis Kigwangala (Mp) Nzega, anatetea sana maslahi ya wanyonge, kwa nguvu kabisa. Couregeous, energetic, anatetea sana raslimali za Taifa hili hususan kwenye madini na umeme. Anaweza kuwa Julius Malema kama akiendelea hivyo...

Kule twitter, wakati wa Bunge la Bajeti, ya umeme, JMakamba aliwahi kumbatiza jina la 'our own Julius Malema'
 
Julius Malema hapa Tanzania atoke wapi wakati kila siku vijana wananunuliwa na kuanza kugombana wao kwa wao!!
 
Wakuu Julius Malema mbona amekuwa freezed ghafla? Mbona hatusikii tena harakati zake?
 
Nape Nnauye kaonyesha uthubutu wake kwa kusema ukweli ambao hata chama chake kinaogopa kuusema,mafanikio ya Nape ni
1.Kuibua skandali ya ujenzi wa jengo na mkataba mbovu pale palipokuwa makao makuu ya UVCCM
2.Kafanya jitahada kubwa kwenye sakata la kujivua magamba,kwenye hili suala hata mwenyekiti wake anaogopa kulisema lakini yeye anasema live bila chenga.
Na tujiulize nani mwenye jeuri ya kuyafanya hayo ndani ya chama cha magamba?jibu hakuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…