Mmoja kati ya Wapenzi wakubwa wa Mwalimu Nyerere ni Rais wa Baraza kuu la 63 la Umoja wa Mataifa,Ambassodor Miguel Brockman,katika ofisi yake iliyopo Jijini New York ana picha nyingi za Mwalimu.Hon.Miguel ni raia wa Nchi ya Nicaragua, pamoja na kuwa Diplomat na Mwanasiasa pia ni Askofu Mkatoliki.
Mpenzi wake mwingine mkubwa ni Father Dennis Dease raisi wa chuo kikuu kimoja USA. Watanzania wamepata scholarship kwenye chuo chake kwa ajili ya Mwalimu Nyerere. Bless you Mwalimu Nyerere I am one of people who enjoyed free education because of you!.
Nafikiri Father Dennis Dease ni President wa University of St.Thomas -Minnesota ni kweli huyo Jamaa ni kipenzi cha Waafrika,ukiacha Watanzania hata Waganda wapo wengi katika chuo hicho....Father Dease pia ni Mkatoliki kama Ambassodor Miguel.....2007 Rais Kikwete alitunukiwa Honorary Degree katika Campus ya Minneapolis.