upupu255
JF-Expert Member
- Sep 4, 2024
- 341
- 476
Mbunge wa Chang'ombe, Juliana Shonza, amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya kazi nzuri kwa wananchi wa Wilaya ya Songwe kwa kujenga hospitali ya kisasa. Shonza alieleza kuwa hospitali hiyo ina wodi ya wanawake, vitanda vya kujifungulia, na vitanda vya wodini vya kisasa.
"Wilaya ya Songwe, Rais Samia amefanya kazi nzuri sana, tumepata hospital ya kisasa ambayo imejengwa kwenye Wilaya ya Songwe. Wodi ya wanawake Vitanda vya kujifungulia na Vitanda vya wodini ni vya kisasa. Kata ya Chang'ombe hatuna deni na Rais Samia"
Soma, Pia