security guard
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 799
- 603
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!
Na Elimu ya Kikwete ya Udaktari ina faida gani kwa Tanzania?....au kuchomeka kwa makanisa ndiyo ufanisi?Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!
katika nchi za jumuiya ya sadc, freeman mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
Ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi juliana shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na radio uhuru fm, kama dk.slaa atakuwa rais, mbowe waziri mkuu ..basi taifa litakuwa na waziri mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya udj!
Kumekucha...
send off yako lini dada?Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).