Juliana Pub & Hotel Mbezi Beach Shughulikieni Hili

MTINGIJOLI

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
1,460
Reaction score
1,476
Habari Za Muda Wana JF, Bila Weekend Yenu Imeenda.

Naomba Ifahamike kuwa Lengo langu Sio Kuharibu Biashara ya mtu ila nimeleta hapa Kurekebisha, Kuna hii Bar inaitwa Juliana ipo Mbezi Beach Africana, Nimekuwa mara kadhaa nikipita Pale kupata Chakula ila kilichonifanya hadi nije Kuandika hapa ni Hili tatizo linalonitokea Kwenye Maegesho ya Magari, Nimepata hasara ya kubadilisha Matairi hadi Jana ni Mara Ya Tatu kutokana na Pancha, Najua Pancha inaweza kutokea Popote lakini Kwanini Mara Zote hizi ni Pale Juliana?

Je Kuna ambae lishamkuta kama Hili? Anaweza Share nasi Hapa, Na Kama Wadau Wanaweza Kusoma hapa basi ningeomba Walishughulikie hili. Naomba Nirudie lengo langu ni kupaza Sauti na Si Kuharibu Biashara ya Mtu, Nawakaribisha Wadau na Kesho Niwatakie Mwanzo Mwema wa Wiki

NB: Wale Mtakaonisema kuhusu Uandishi, Napokea [emoji1]
 
Ila hata sisi nakumbuka ilitupata hii. Kuna sehemu sijui kuna visenyenge ama ni nini vile sikumbuki. Na ni muda kidogo. Sijui kwann hawarekebishi parking zao. Wafanyabiashara wanapenda kupokea tu ila kutoa wagumu sana
 
Habari Za Muda Wana JF, Bila Weekend Yenu Imeenda.

Naomba Ifahamike kuwa Lengo langu Sio Kuharibu Biashara ya mtu ila nimeleta hapa Kurekebisha, Kuna hii Bar inaitwa Juliana ipo Mbezi Beach Africana, Nimekua mara kadhaa nikipita Pale kupata Chakula ila kilichonifanya hadi nije Kuandika hapa ni Hili tatizo linalonitokea Kwenye Maegesho ya Magari, Nimepata hasara ya kubadilisha Matairi hadi Jana ni Mara Ya Tatu kutokana na Pancha, Najua Pancha inaweza kutokea Popote lakini Kwanini Mara Zote hizi ni Pale Juliana?

Je Kuna ambae lishamkuta kama Hili? Anaweza Share nasi Hapa, Na Kama Wadau Wanaweza Kusoma hapa basi ningeomba Walishughulikie hili. Naomba Nirudie lengo langu ni kupaza Sauti na Si Kuharibu Biashara ya Mtu, Nawakaribisha Wadau na Kesho Niwatakie Mwanzo Mwema wa Wiki

NB: Wale Mtakaonisema kuhusu Uandishi, Napokea [emoji1]

Cc: February Marope.
 
Inabidi ufanye inspection asubuh uone eneo lilivyo.. then kama hakuna shida basi tatzo ni walinzi au wewe gari yako.

Nb: kwenda sehem za starehe na usafiri binafsi si nzuri.. (Kwa maono yangu).. ni vyema ukawa mtu wa ku request vyuma tu.. safe, cheap.. fast.. reliable
 
Asante Mkuu, Nimepokea Ushauri na Kuuzingatia
 
Ni Walinzi hufanya hivyo ili ukitoka na kukuta pancha uwape kazi ya kubadilisha tairi uwape chochote kitu,hivyo walinzi hutoboa makusudi,full stop
WALINZI tunaonewa Sana.
Tuna chukua risk kulinda maisha ya wengine laki hatuthaminiwi kabisa. Mishahara yetu ikizidi Sana laki na themanini kwa mwezi (180,000) na hatulipwi on time. Sahani ya mbwa ikivunjika au kupotea tegemea kukatwa elfu ishirini kwenye mshahara.
Kikipotea chochote hata Kama watoto wa boss ndio wahusika, Ni mshahara wako ndio unakatwa.
Unaweza kukaa miezi mitatu mkeo unamuona kwa macho tu. Hamu ya tendo huna hata hiyo nguvu huna.
Dar nzima hakuna watu wanaochapiwa wake zao Kama WALINZI.
Ukiwa lindoni usiku unaumwa na mbu na kupigwa na baridi jua nyumbani Kuna maneno.
 
Ulilazimishwa kuwa mlinzi?
 
Kama ni Kweli Wanafanya hivi, Wamekosa utu Kabisa
Njaa inawaua, uchumi wa Samia na kodi zake havina msaada kwao; na wakiuza bandari itakuwa balaa hela yote itakwenda uarabuni!! Siku nyingine ukipaki anagalia nani yuko karibu, mpe jelo akanywe maji hutapata matatizo ya pancha tena!!! Income distribution in a cruel world.
 
Tamaa tu, Ila Wanatolewa Sana
 
Back
Top Bottom