Ukinipa mchongo hata Sasa hivi naachia lindo. Au ukinikopesha laki tatu tu. Naacha huu upuuzi
inawezekana tatizo ni wewe kama iyo sehemu ni parking at your own risk ulitakiwa uishi vizuri na watu we umekuta watu unawapita tuu maisha hayapo hivyo¡
Mlinzi nina maongezi na wewe njoo inboxWALINZI tunaonewa Sana.
Tuna chukua risk kulinda maisha ya wengine laki hatuthaminiwi kabisa. Mishahara yetu ikizidi Sana laki na themanini kwa mwezi (180,000) na hatulipwi on time. Sahani ya mbwa ikivunjika au kupotea tegemea kukatwa elfu ishirini kwenye mshahara.
Kikipotea chochote hata Kama watoto wa boss ndio wahusika, Ni mshahara wako ndio unakatwa.
Unaweza kukaa miezi mitatu mkeo unamuona kwa macho tu. Hamu ya tendo huna hata hiyo nguvu huna.
Dar nzima hakuna watu wanaochapiwa wake zao Kama WALINZI.
Ukiwa lindoni usiku unaumwa na mbu na kupigwa na baridi jua nyumbani Kuna maneno.
Parking nyingi huwa wanajitoa kwa risk yoyote, unakuta wameweka Bango la Parking at your own risk.
Sawa bossMlinzi nina maongezi na wewe njoo inbox
Eti! Mkuu, Tuna Safari Ndefu Sana!ulitaka kila sehemu akifika awachekee awasalimie woote waliokaa pale ukiharibu mali ya mtu eti kwa sababu siishi vizuri na nyinyi unaenda jela mother JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala ni kosa la jinai
Kwa Kweli, tutaanza KupaogopaJuliana na burudani zake za vichakani.
Hata kama, sio haki kumuharibia mtu(kama kweli wanafanya) kisa hajakuchekea.inawezekana tatizo ni wewe kama iyo sehemu ni parking at your own risk ulitakiwa uishi vizuri na watu we umekuta watu unawapita tuu maisha hayapo hivyo¡
Mshahara haufiki laki 3?Ukinipa mchongo hata Sasa hivi naachia lindo. Au ukinikopesha laki tatu tu. Naacha huu upuuzi
Mpe Kazi Dada, na Mungu AkatubarikiMshahara haufiki laki 3?
[emoji419] [emoji375]Ukinipa mchongo hata Sasa hivi naachia lindo. Au ukinikopesha laki tatu tu. Naacha huu upuuzi