wacha we !Nani huyo hayumo?hahaha hapo watu wanawaza jinsi ya kumtazama usoni jamaa waliemlia pesa zake na kumjazia wadhamini ili kuitisha cc alafu na bado kapigwa panga
Acha waendelee kuchukua fomu tu hata wakifika 100, si ndiyo wanadai demokrasia. Ila wakati ukifika itafahamika tu.