Jukwaa linalotembelewa sana jf

Yaani ingekua huko kutembelewa kunakrieti mimba basi Chitichati pangezaa uzazi usio na mpango!
Mwaka mimba!
Mwaka mtoto!
 
Yaani ingekua huko kutembelewa kunakrieti mimba basi Chitichati pangezaa uzazi usio na mpango!
Mwaka mimba!
Mwaka mtoto!

hahahahaa.........yani wewe...........!!!!
 
Chitchat..... Yaani mauchovu na mastress yote nayamwaga hapa!
 
Majukwaa ya kenya
nayakimbia shauri ya kiingilishi.

Mzima weye mtumishi wa Bwana?

"Weye mtumishi wa Bwana?"
Swali zuri kisenzi!
Kwa swali hilo basi nimejiamua nikuletee zawadi za Maembe doodoh , Maembe ng'ong'o , na yare ya Chumbageni Tanga.
 
Hata mimi nimekumiss sana mtumishi,

Kweli mtumishi,
foleni ya bongo imenifanya
nishindwe kabisa kuendelea na uimbaji, loooh,
naona hata tamasha la reformation nitalikosa.

mi mzima nimekumiss siku hizi hutaki kuhudhuria kwaya ya kanisa
 
Ha ha haaa
ulete yale yenye ugwadu ugwadu
........ halafu wewe shauri zako,
leo ni mara ya tatu nakuambia........

"Weye mtumishi wa Bwana?"
Swali zuri kisenzi!
Kwa swali hilo basi nimejiamua nikuletee zawadi za Maembe doodoh , Maembe ng'ong'o , na yare ya Chumbageni Tanga.
 
Hata mimi nimekumiss sana mtumishi,

Kweli mtumishi,
foleni ya bongo imenifanya
nishindwe kabisa kuendelea na uimbaji, loooh,
naona hata tamasha la reformation nitalikosa.
kukosa ibada za jumapili ndo unakosea,tuma sadaka hata kwa m-pesa
 
Ha ha haaa
ulete yale yenye ugwadu ugwadu
........ halafu wewe shauri zako,
leo ni mara ya tatu nakuambia........

Ya ugwadu?
Kwani wameshakurumbesa?
Btw am hired you told me some words!
Someone or somethin will not exist for much longer!
I know my days are numbered, bt i hope it will last just a little while longer , and i hope i can live lon enough to see one day i'll b gifted you a zygote! Of mine!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…