Jukwaa linaloogopwa

 
Title
Jukwaa hili hapa! kwanini unasema hulioni?




Last Post


Dini/Imani

(1 Viewing)
Karibu, hapa si mahala pa mihadhara bali masuala kuhamasishana kiimani na kufundishana yale yaliyo mema. Aidha ni sehemu muafaka kuangalia mapungufu katika dini zetu na kuuliza maswali kwa waamini wa dini husika kuhusu imani yao. Contact Invisible to get access!
 
wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii

jukwaa lipo siku zote wazi lah! hujaliona, basi siku hiyo lina marekebisho kidogo,

Yesu na akuponye ufahamu wako, uweze kufahamu ukionacho
 
Hivi ninavyoandika halipo.Limeshazimika.
 

Nilijua tu kuwa wewe utakuwa mwislamu. Haya uyasemayo kwenye wino mwekundu siyo kweli hata kidogo kwa maana rais ni mwislamu, makamu wa rais ni mwislamu na mkuu wa polisi ni mwislamu.
 
Inasikitisha kuona watu wanashindwa kufahamu maana ya uwepo wa JF. Soma maelezo hapo juu kuhusu matumizi ya jukwaa lenyewe. Hapa siyo mahali pa kukashifiana kidini. Maana jukwaa la dini ni lazima litazaa upuuzi huo kama halitaangaliwa vizuri. Kwanini unataka jukwaa la dini tuuu?? Huna jingine bora kwa jamii? Imefika mahali watanzania inabidi tuwe watanzania wale ambao Nyerere alitufundisha namna ya kuishi pamoja tukijua kwamba serikali ya Tanzania haina dini bali watu wake ndiyo wenye dini. Ukishapata ufahamu huo sawasawa wala huhitaji tena kuliona hilo jukwaa la dini hapa.
 
angalia tu usije kuwa mkwazaji.
 
aisee kuna kazi wanadamu!!
 
siliogopi ila huwa sipendi malumbano ya kidini kwakuwa najua athari zake huwa nawaachia wale wasiojua athari zake waendelee kukomaa. Actually uhuru wa kuongea una raha na karaha zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…