Namanisha
Watoto nanao omba hela kwa kiongozi wa familia
Kwamba huu Uzi n wa kwangu???Jukwaa la watoto wanaokaa na wazazi
Naomba hela baba ya matumizi,
Una muda mrefu hujanipa hela kabisa
Nataka tu tuwajue watoto wa nyumbani
Tujue wanawaza nn kwa sasa na wanatoka vip kwenye majumba ya baba zao kama ajila bado aiko.
Ila mm, baba ananipenda sanaa.
Kwann? Sijui
Uzi tayari.
Sinjakuerewa lafiki yagu?Si bado ni watoto wa baba zao.
Anhaa kumbe! nikajua wa kwangu alone maana ID yangu hii mmh...ila me siombi hela kwa babaHahhaaaa[emoji47][emoji47]
Sio wewe pekee, watoto wote.
Kuna vijana wanategemea wazazi maana wanasoma mkuuDuuu ama kweli
Kwa kijana kuoneka bado anategemea wazazi ni aibu sana.
Hahahahahahhahaha me napenda tu kujiita hivoHahahahaa, sijui why id unatumia hyo.
Na upo vizur
Mm bado naomba hela kwa baba.