Jukwaa la wototo wa baba

Jukwaa la wototo wa baba

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
9,761
Reaction score
15,577
Jukwaa la watoto wanaokaa na wazazi
Naomba hela baba ya matumizi,
Una muda mrefu hujanipa hela kabisa

Nataka tu tuwajue watoto wa nyumbani
Tujue wanawaza nn kwa sasa na wanatoka vip kwenye majumba ya baba zao kama ajira bado aiko.
Ila mm, baba ananipenda sanaa.
Kwann? Sijui

Uzi tayari.
 
Jukwaa la watoto wanaokaa na wazazi
Naomba hela baba ya matumizi,
Una muda mrefu hujanipa hela kabisa

Nataka tu tuwajue watoto wa nyumbani
Tujue wanawaza nn kwa sasa na wanatoka vip kwenye majumba ya baba zao kama ajila bado aiko.
Ila mm, baba ananipenda sanaa.
Kwann? Sijui

Uzi tayari.
Kwamba huu Uzi n wa kwangu???
 
Duuu ama kweli
Kwa kijana kuoneka bado anategemea wazazi ni aibu sana.
 
Ungekua ni watoto wa mama ningetia nanga hapa.. My dad is bitter when am close to him nikiwa mbali ndo anakua mshikaji..
Mwacheni mama aitwe mama kwakweli..
 
Back
Top Bottom