Jukwaa la wahariri ,Moat vinaelekea wapi?

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
Tumesikia kwamba Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri Bi Sakina Dotoo na Mwenyekiti wa MOAT Reginal Mengi uhusiano wa kikazi umedorora baada ya Bi sakina Kuikimbia IPP. kunatetesi kwamba Vyombo hivyo viwili ambavyo vikishirikiana kwa karibu vimevunja uhusiano wao kutokana na mtafaruku wa wenyeviti hao. wapi sasa waandishi wa habari nguzo yenu? natoa hoja jamvini
 
Jukwaa la Wahariri ni taasisi na sio mtu (Sakina). Hali kadhalika, MOAT nayo ni taasisi na sio mtu mmoja (Mengi). Nadhani pia majukumu ya hizi taasisi ni tofauti. Kama ni kweli watu hao wawili wametofautiana sioni ni kwa vipi itawaathiri wanahabari. Nawashauri wanahabari waangalie cha kufanya ili kutofautiana kwa watu hao wawili kusilete mvurugano miongoni mwao. Hata hivyo, nijuavyo mimi, na kama tulivyohabarishwa kupitia hiyo barua ya Sakina, ni kwamba ametoa notisi ya kuacha kazi kwenye kampuni za Mengi. I hope hilo halina athari zozote kwenye majukumu yao ya kuongoza hizi taasisi mbili.
 
tumesikia kwamba mwenyekiti wa jukwaa la wahariri bi sakina dotoo na mwenyekiti wa moat reginal mengi uhusiano wa kikazi umedorora baada ya bi sakina kuikimbia ipp. Kunatetesi kwamba vyombo hivyo viwili ambavyo vikishirikiana kwa karibu vimevunja uhusiano wao kutokana na mtafaruku wa wenyeviti hao. Wapi sasa waandishi wa habari nguzo yenu? Natoa hoja jamvini

umetumwa na mafisadi
 
Back
Top Bottom