Jukwaa la Siasa lisilojaadili Siasa!! Uvivu wa Kufikiri na Hoja za Kufuata Mkumbo!

i

nimeipenda hii mkuu, nimekugongea thanks

Niko barabarani nasikiliza Radio, kuna mganga anatibu magonjwa kibao, anauwezo wa kumrudisha mke, kumfanya mume atoe hela, kumtuliza mume mkorofi anayepiga mke, kusaidia wachimba madini, kumrudisha mtu kazini aliyefukuzwa na akapandishwa cheo dah!

Kweli Tanzania kiboko! Kipokolo ukiiba ofisini jamaa anakurudisha! Sasa sijui EL alimuona? Si unaona kaukwaa uenyekiti!! Na inawezekana ttukamuona serikali ikatoa hela na ikaacha kupiga raia mabomu! Yuko Moshi Vunjo Guest House karibu na Ofisi ya CCM ya Wilaya. Tangazo nimelisikia Moshi FM!

Si unajua watu hawachelewi kunidai ushahidi!
 
Ukisoma kwa makini hoja zinazoletwa huku ni malalamiko ya siasa na siyo siasa! Majadiliano ni kuhusu CDM, CCM, CUF, NCCR na TLP! Wengi hawajui hata hivyo vyama vinasimamia nini. Suala kwamba inawezekana hivyo vyama havina vinachosimamia ni tofauti na WanaJF kutokujua kwamba hakuna vinachosimamia! Wavamizi kutoka facebook na kwingineko kazi yao ni kuweka comments kama 'crap' 'duh' na 'wagalatia' 'urojo'!

Majadiliano ya kuhusu siasa yamegeuzwa taarifa na upashanaji habari! Utasikia 'chadema watoka ukumbini' ccm mara waula' 'lowasa fisadi' 'mbowe mwenyekiti wa CDM' 'JK Raisi wa Tanzania' 'Pinda aenda Malawi' 'January Makamba sio Mtoto wa Makamba'

Sasa hapo ni siasa au taarifa za siasa? Mtu si unaweza ukapost hata jukwaa la mapenzi au ukawataarifu na huko wajue Pinda kaenda Malawi! Utasikia mtu anasema Pinda ni Mwanasiasa lazima tunjadili!!

Inapofika wakati wa hoja ngumu ndipo utajua mawazo ya watu humu ndani! Ikianzishwa thread ya 'Uchumi wa Tanzania wazidi kuporomoka: nini kifanyike' utaona idadi ya wachangiaji!! Hakuna mawazo yatakayotolewa sana sana utasikia 'kazi yao kulipa dowans' 'ccm iondoke madarakani (as if mtu hajui sheria inasemaje) 'slaa ndio raisi'

Sasa unajiuliza uchumi utakuwa kweli? Great thinkers ndio wameshafikiri hivyo!!

Tatizo letu tunaelekeza hasira zetu kule ambako sio! Hatukai chini kujipanga tufanye nini kupiga hatua! Tunatumia muda mwingi kupata taarifa ambazo hatuna cha kufanya zaidi ya kuongeza hasira!

Tunakuwa wagumu kutoa mawazo yetu kujenga chama chochote tunachoona kinafaa. Tunakuwa wepesi kutetea vyama vyetu hata kama vinakosea! Tunasahau kwamba CDM haiwezi kuanguka kisa imekosolewa! CCM haiwezi kutoka madarakani kwa kutukana!!

Yaliyotokea bungeni yanadhihirisha nafasi ya jukwaa hili katika siasa za nchi yetu! Wengine tunasupport kwa nguvu vyama vya upinzani kuungana as if vyote vinapinga! Eti CDM wakubali kugawana nafasi na wengine!! Wengine hao ni Mrema na Cheyo!! Au Kafulila na Hamad Rashid!! Ni muungano gani huo kama sio unafiki?? Tumefikiria kwa kina kabla ya kuulilia huo ushirikiano?

CDM na vyama vingine kila kimoja kina sera na mitazamo yake. Hakuna mtazamo wa pamoja hata kama ni kuing'oa CCM! Wenyewe kwa wenyewe wanapingana na hiyo ndio concept ya vyama vingi!

Tatizo la CDM ni kutokusimamia ukweli kwamba 'kila chama kisimame kwa miguu yake na kitekeleze au kisimamie sera zake'. Hakukua na sababu ya kutoa kisingizio kwamba CUF wameungana na CCM Zanzibar na vyama vingine ni rafiki wa CUF hivyo hatushirikiani navyo!!

Hakuna kosa kusimama na kutamka hilo. CDM ni CDM na CUF ni CUF! Kama ilishindikana kushirikiana wakati wa uchaguzi inawezekana vipi wakashirikiana kwenye Bunge? Huo utakuwa ni unafiki!

Mawazo yangu kama MwanaJF, tuache kuligeuza hili kuwa jukwaa la taarifa za siasa, matusi, uvivu wa fikra, kutolea hasira nk!! Hili ni jukwaa la kushusha nondo za siasa zitakazosaidia kuleta mabadiliko katika nchi hii. Ni sehemu ya kuonyesha tofauti yetu na wao!

Kunawatakaokurupuka 'umetumwa' 'wale wale' na mengineyo! Sijatumwa!

Kwa faida ya ukweli na uwazi mimi ni mwanachama hai wa CDM. Siwapendi CCM kwa sababu ya kushindwa kwao kuwasaidia wananchi wa Tanzania kufikia ndoto za uhuru. Ni chama dhaifu, hakina dira wala muelekeo. Hakijui kinasimamia nini! Viongozi wake wamefika mwisho wa kufikiri. Hawana viongozi mbadala ndio maana mtu anaweza kujiuzulu na akarudi kuwa mwenyekiti wa kamati. Mtu anaweza kuwa mwizi na akawa mbunge hata kama ana kesi ya kujibu!

CDM ni chama ambacho kimekuwa na kinaendelea kukua. Kinatoa nafasi ya mawazo mapya. Maamuzi ya Wabunge wa CDM sio lazima yawe maamuzi ya CDM ndio maana kuna kamati ya Wabunge. Endapo Wabunge hao watatoa msimamo ambao ni kinyume na yale ambayo CDM inasimamia hata wao sio zaidi ya Chama, watawajibishwa kwa ujumla wao na mmojammoja! Huo ndio uongozi!

Hayo ndio mawazo yangu!

Tumekupata kiongozi lakini ni vigumu sana kama si kutowezekana kabisa kuwafanya watu wafikiri na kufanya kama wewe unavyo kusudia, ninachotaka kukuuliza je unafikiri hili jukwaa linafaidi au halina? hilo ndilo jambo la msingi basi.
 
:clap2:
 
Mmmhhh!! Kumbe ndiyo maana watu wamekwepa kujadili post yangu ya: Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni kiini macho kwa Watanganyika??? Naamini ilikuwa post nzuri lakini je ni ngumu sana? It is among of high politics???
 
Mkuu Jukwaa lina faida. Ni vizuri kama tutalitumia kutoa alternative solution kwa matatizo ya nchi yetu. Naamini kwamba tutafika!
 
Very well said! Thanks! budy!!
Ila reading between da lines you sound like an MP, are you? well you may not anwer that anyway its a nice piece of work! keep on thinking great!!!
 
Mmmhhh!! Kumbe ndiyo maana watu wamekwepa kujadili post yangu ya: Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni kiini macho kwa Watanganyika??? Naamini ilikuwa post nzuri lakini je ni ngumu sana? It is among of high politics???

Ndugu yangu hilo ni mtihani! Ila usikate tamaa! Tutafika!
 
Very well said! Thanks! budy!!
Ila reading between da lines you sound like an MP, are you? well you may not anwer that anyway its a nice piece of work! keep on thinking great!!!

MP no! I am a Diwani. I believe in local politics. This country is messed up at the lower level! It has been abandoned! Those of us who should help the masses are all aiming for the lucrative MPs posts! I personally believe that is wrong!
 
I agree with the view that the quality of posts on JF has seriously declined in the past year or so to an abhorrent level. There are very very few posts of any real significance in a political sense or in a sense of inspiring a different way of thinking. JF is not the thinktank that it purports to be but rather a propaganda forum with little political thought, if any. I, along with many of you here have witnessed this decline. It is quite ironic in the sense that Tanzania has undergone a significant political awakening which has led to the strengthening of opposition parties in terms of their popularity as well as Parliamentary seats but inversely, the quality of political thought on JF and all socio-economic discourse has declined to an almost Shigongo tabloid level.

I am deeply saddened by this. I blame the moderators for failing to pursue and implement the required policies that would solidify JF as a global think-tank of Tanzanian minds. It is a greatly missed opportunity.

Majungu, jazba, chuki, kejeli, mob psychology, uni partisan thought, these are the true hallmarks of JF as it is today. Invisible, Maxinance, etc... Change the "Great Thinkers" to " Wabwabwajaji Marudufu" or something like that, or bring back the days za 'kumkoma Nyani'..

Ni maoni yangu tuu.

KK.
 
Kuwa great thinker ni pamoja na kutambua hali halisi ya mahali ulipo. JF haina entry requirements. Kutegemea kuwa watoa hoja JF watafikiri kama degree holders au wataalam ni kinyume cha uhalisia.
Tuvumilie hoja mbalimbali, tushauriane, turekebishane lakini hakuna haja ya kukebehiana na wala hakuna haja ya mwana JF fulani kuclaim haki ya kujudge wengine. Hii ndio maana ya JAMIIFORUMS.
 
Unachoandika hapa ni ukweli kabisa. Kinachoichafua JF sasa ni mashabiki wa CHADEMA. Wamekuja mambumbumbu wanaotetea kila hoja inayopinga CHADEMA na kusupport kila hoja inayoichafua serikali. Uwezo wa kuchambua wanao ila wameamua kufumba macho, SIJUI ni kwa manufaa ya nani. Sisi "JF asilia" tukiamua kuwakemea tutawanyoosha.
 
Mkuu Albert, kutokana na profession yako sitoshangaa ukitoa general judgement ya jukwaa ili,lakini naogopa kusema uko sahihi asilimia mia! Nasema ivi kwa sababu nlipojiunga jf sikuona sehemu yoyote yenye strict cut off line kuwa mawazo ya level flani post,flani usipost. Ni vigumu kuwakataza watu wasiseme kitu flani ila tu wasivunje sheria. Ntakubaliana %100 ukiweka wazi kuwa Jukwaa la siasa limeanzishwa kwa makusudi uliyoyataja tu. Pia kumbuka kuwa 'where law does not prohibit,it permits' Hapa naona kama hawajakatazwa basi walete waliyonayo kwa ulinganifu .Pia niliposoma vizuri mwanzo nilifurahi sana ila furaha yangu ilianza kupungua ulianza pia kurudia kitu ulichokemea kuwa ccm si lolote na cdm ndo super. Sikatai maana nami ni wanachama hai wa cdm,ila hoja yako ilianza kwa kukemea ushabiki pia. Kuhusu hoja uliyotetea ya cdm na cuf,mi naona cdm walikuwa sahihi zaidi kuikataa cuf kwa kigezo icho pekee kwa kuwa hata wewe unapaswa uelewe kuwa muungano wa zbar cuf na ccm ni kikwazo kwa upinzani mzima. Ukiachana na kuwa na sera tofauti,wakiwa wanagawana kamati bungeni tayari itikadi zinapaswa kuwekwa pembeni na kuwa na utaifa,kwa ili dhana ya itikadi uliyoitetea nadhan hapo bungeni isingefaa ila tu kuikataa cuf kwa kuwa tayari wao ni sehemu ya serikali. Wee kama mjua sheria,unataka utuaminishe kuwa cuf na ccm kwa muungano wao hawajavunja katiba? Huwezi kusema cuf upande wa zanzibar iko na ccm ila bara hapana! Je mbona katiba imeweka wazi kuwa chama chochote cha siasa hakitakuwa na ukanda,wala malengo ya sehemu moja ya taifa,wala dini wala kabila? Ukisema Cuf zbar,je umaanishi sehemu/zone. Hapa cuf ikiingia ccm zbar,inajifunga pote Tanzania kwa kuwa ni chama cha Taifa na si si zone moja. Kama Tanzania ingekuwa inapigiwa kelele,je ili lingekuwa la msingi kukifuta cuf kama chama pinzani na kukiita chama tawala na si kwa zbar bali kwa taifa. Mkuu sitaki kuongea mengi ntakuchosha ila yapo mengi kutokana na hoja yako. Mwisho nakubaliana na wewe kwa %nyingi kuwa tujadili siasa na si yatokanayo na siasa,ila kwa kuwa jf is a place to dare to speak openly,speak anything constructive and wait to be corrected! And here I stand to be corrected!
 
Kuwa great thinker ni pamoja na kutambua hali halisi ya mahali ulipo. JF haina entry requirements. Kutegemea kuwa watoa hoja JF watafikiri kama degree holders au wataalam ni kinyume cha uhalisia.
Tuvumilie hoja mbalimbali, tushauriane, turekebishane lakini hakuna haja ya kukebehiana na wala hakuna haja ya mwana JF fulani kuclaim haki ya kujudge wengine. Hii ndio maana ya JAMIIFORUMS.

kama kuna asilimiana zaidi ya mia,mi nakubaliana nawe kwa asilimia zote ktanzia mia na kuendelea. Hapa tuwakosoe wengine na ukikuta kuna matusi kemea kama kuna kuvunja maadili ripoti kwa Mods. Ila kwa michango isiyo na tija just ignore! Mwishowe hawa watu watanywea! Tukumbuke theories kama survival of the fittest zitaapply. Kumbuka tangu uchaguzi jf members reached muximum ever,njoo leo wamepotea wamebaki wenye malengo. Nadhani one sided judgement isn't much better. Japo namshukuru mleta mada!
 
Hivyo vyama ulivyovitaji ni vyama vya kidini? kama ni vyama vya kisiasa wadau kuhusu vyama hivyo tayari ni siasa.
 
The issue is not about elitism or censorship. There should be a regulatory regime which seeks to maintain the true nature of a political forum. Moderators manage the language the people use on Jf for instance, why not extend that to make sure that quality is maintained and posts are relevant.. Of course care must be taken not to censor material or inhibit freedom of speech. But create quality... we cannot ignore the need for clear and coherent expression of thought. It would ensure anyone joining the forum adopts that value. At present, such a value is absent from the JF ethos.

KK
 
Ukisoma kwa makini hoja zinazoletwa huku ni malalamiko ya siasa na siyo siasa! Majadiliano ni kuhusu CDM, CCM, CUF, NCCR na TLP! Wengi hawajui hata hivyo vyama vinasimamia nini. Suala kwamba inawezekana hivyo vyama havina vinachosimamia ni tofauti na WanaJF kutokujua kwamba hakuna vinachosimamia! Wavamizi kutoka facebook na kwingineko kazi yao ni kuweka comments kama 'crap' 'duh' na 'wagalatia' 'urojo'!

Majadiliano ya kuhusu siasa yamegeuzwa taarifa na upashanaji habari! Utasikia 'chadema watoka ukumbini' ccm mara waula' 'lowasa fisadi' 'mbowe mwenyekiti wa CDM' 'JK Raisi wa Tanzania' 'Pinda aenda Malawi' 'January Makamba sio Mtoto wa Makamba'

Sasa hapo ni siasa au taarifa za siasa? Mtu si unaweza ukapost hata jukwaa la mapenzi au ukawataarifu na huko wajue Pinda kaenda Malawi! Utasikia mtu anasema Pinda ni Mwanasiasa lazima tunjadili!!

Inapofika wakati wa hoja ngumu ndipo utajua mawazo ya watu humu ndani! Ikianzishwa thread ya 'Uchumi wa Tanzania wazidi kuporomoka: nini kifanyike' utaona idadi ya wachangiaji!! Hakuna mawazo yatakayotolewa sana sana utasikia 'kazi yao kulipa dowans' 'ccm iondoke madarakani (as if mtu hajui sheria inasemaje) 'slaa ndio raisi'

Sasa unajiuliza uchumi utakuwa kweli? Great thinkers ndio wameshafikiri hivyo!!

Tatizo letu tunaelekeza hasira zetu kule ambako sio! Hatukai chini kujipanga tufanye nini kupiga hatua! Tunatumia muda mwingi kupata taarifa ambazo hatuna cha kufanya zaidi ya kuongeza hasira!

Tunakuwa wagumu kutoa mawazo yetu kujenga chama chochote tunachoona kinafaa. Tunakuwa wepesi kutetea vyama vyetu hata kama vinakosea! Tunasahau kwamba CDM haiwezi kuanguka kisa imekosolewa! CCM haiwezi kutoka madarakani kwa kutukana!!

Yaliyotokea bungeni yanadhihirisha nafasi ya jukwaa hili katika siasa za nchi yetu! Wengine tunasupport kwa nguvu vyama vya upinzani kuungana as if vyote vinapinga! Eti CDM wakubali kugawana nafasi na wengine!! Wengine hao ni Mrema na Cheyo!! Au Kafulila na Hamad Rashid!! Ni muungano gani huo kama sio unafiki?? Tumefikiria kwa kina kabla ya kuulilia huo ushirikiano?

CDM na vyama vingine kila kimoja kina sera na mitazamo yake. Hakuna mtazamo wa pamoja hata kama ni kuing'oa CCM! Wenyewe kwa wenyewe wanapingana na hiyo ndio concept ya vyama vingi!

Tatizo la CDM ni kutokusimamia ukweli kwamba 'kila chama kisimame kwa miguu yake na kitekeleze au kisimamie sera zake'. Hakukua na sababu ya kutoa kisingizio kwamba CUF wameungana na CCM Zanzibar na vyama vingine ni rafiki wa CUF hivyo hatushirikiani navyo!!

Hakuna kosa kusimama na kutamka hilo. CDM ni CDM na CUF ni CUF! Kama ilishindikana kushirikiana wakati wa uchaguzi inawezekana vipi wakashirikiana kwenye Bunge? Huo utakuwa ni unafiki!

Mawazo yangu kama MwanaJF, tuache kuligeuza hili kuwa jukwaa la taarifa za siasa, matusi, uvivu wa fikra, kutolea hasira nk!! Hili ni jukwaa la kushusha nondo za siasa zitakazosaidia kuleta mabadiliko katika nchi hii. Ni sehemu ya kuonyesha tofauti yetu na wao!

Kunawatakaokurupuka 'umetumwa' 'wale wale' na mengineyo! Sijatumwa!

Kwa faida ya ukweli na uwazi mimi ni mwanachama hai wa CDM. Siwapendi CCM kwa sababu ya kushindwa kwao kuwasaidia wananchi wa Tanzania kufikia ndoto za uhuru. Ni chama dhaifu, hakina dira wala muelekeo. Hakijui kinasimamia nini! Viongozi wake wamefika mwisho wa kufikiri. Hawana viongozi mbadala ndio maana mtu anaweza kujiuzulu na akarudi kuwa mwenyekiti wa kamati. Mtu anaweza kuwa mwizi na akawa mbunge hata kama ana kesi ya kujibu!

CDM ni chama ambacho kimekuwa na kinaendelea kukua. Kinatoa nafasi ya mawazo mapya. Maamuzi ya Wabunge wa CDM sio lazima yawe maamuzi ya CDM ndio maana kuna kamati ya Wabunge. Endapo Wabunge hao watatoa msimamo ambao ni kinyume na yale ambayo CDM inasimamia hata wao sio zaidi ya Chama, watawajibishwa kwa ujumla wao na mmojammoja! Huo ndio uongozi!

Hayo ndio mawazo yangu!

Pamoja na hayo hata hizo habari mipasho n.k acha tu ziendelee kuwepo kwani zinanogesha kachumbari ya facts za siasa. kumbuka humu kuna different levels of thinking na exposure; kwakweli diversity is at maximum kuna form twos nimewataja maana ndo darasa changamfu sec schools; ngumbaru; waheshimiwa; walala puuh; mafisadi; chekechea maana na wao siku hizi kwenye shule za st.wazungu wanasoma somo la computer....

Sasa ndugu yangu wewe ukitaka kusoma facts tuuu za siasa itawezekana? Tunajifunza tolerance vilevile katika hii hii level ya jukwaa la siasa. Unapokuwa mwanasiasa hizo ndo qualities unazotakiwa kuwa imparted with yaani kujua ni audience ipi unakuwa nayo kwa nyakati tofauti...

Hata hivyo asante kwa kutu moderate!
 
Mkuu MsandoA.,

Makala yako ni muamsho kwa wanaJF wengi ambao kweli ni bendera kufata upepo, mipasho na matusi. Pia jukwaa limevamiwa na wapenzi wa CDM ambao huona wengine wa vyama vyengine au wasio na vyama hawana haki ya kutofautiana na misimamo yao. Kwa hili umegusa ukweli mtupu.

kuna kipande hiki katika makala yako.."Tatizo la CDM ni kutokusimamia ukweli kwamba 'kila chama kisimame kwa miguu yake na kitekeleze au kisimamie sera zake'.

Mkuu wako watu, mimi ni mmoja wapo ambao ningependa kuona upinzani unashirikiana, kwani kazi ya kuing'oa CCM ni ngumu kwa chama kimoja kimoja...Lakini hiyo red, jee huo ni msimamo mpya kuanzia 2010? Au ni kwa sababu CDM imepata wabunge 20 uchaguzi wa 2010?
 
Uko sahihi kiasi fulani

Sababu siku za nyuma nilikuwa nikishangaa chuki watu waliyonayo kwa January makamba mtu ambaye position yake pale ikuli ilikuwa ni mambo ya hotuba.

Ukituliza mshauri wa JK wa mambo ya uchumi au nishati , au michezo ni nani wengi hatujui....

Ukiuliza lets say chadema and cuf au NCCR wamechukua nchi great thinker wa jF unaulizwa unataka cheo gani na utafanya nini. hapo ndio utajua..... .....

Kweli ma great thinker sometime tunapotea njia
 
Mkuu Albert, kutokana na profession yako sitoshangaa ukitoa general judgement ya jukwaa ili,lakini naogopa kusema uko sahihi asilimia mia! Nasema ivi kwa sababu nlipojiunga jf sikuona sehemu yoyote yenye strict cut off line kuwa mawazo ya level flani post,flani usipost. Ni vigumu kuwakataza watu wasiseme kitu flani ila tu wasivunje sheria. Ntakubaliana %100 ukiweka wazi kuwa Jukwaa la siasa limeanzishwa kwa makusudi uliyoyataja tu. Pia kumbuka kuwa 'where law does not prohibit,it permits' Hapa naona kama hawajakatazwa basi walete waliyonayo kwa ulinganifu .Pia niliposoma vizuri mwanzo nilifurahi sana ila furaha yangu ilianza kupungua ulianza pia kurudia kitu ulichokemea kuwa ccm si lolote na cdm ndo super. Sikatai maana nami ni wanachama hai wa cdm,ila hoja yako ilianza kwa kukemea ushabiki pia. Kuhusu hoja uliyotetea ya cdm na cuf,mi naona cdm walikuwa sahihi zaidi kuikataa cuf kwa kigezo icho pekee kwa kuwa hata wewe unapaswa uelewe kuwa muungano wa zbar cuf na ccm ni kikwazo kwa upinzani mzima. Ukiachana na kuwa na sera tofauti,wakiwa wanagawana kamati bungeni tayari itikadi zinapaswa kuwekwa pembeni na kuwa na utaifa,kwa ili dhana ya itikadi uliyoitetea nadhan hapo bungeni isingefaa ila tu kuikataa cuf kwa kuwa tayari wao ni sehemu ya serikali. Wee kama mjua sheria,unataka utuaminishe kuwa cuf na ccm kwa muungano wao hawajavunja katiba? Huwezi kusema cuf upande wa zanzibar iko na ccm ila bara hapana! Je mbona katiba imeweka wazi kuwa chama chochote cha siasa hakitakuwa na ukanda,wala malengo ya sehemu moja ya taifa,wala dini wala kabila? Ukisema Cuf zbar,je umaanishi sehemu/zone. Hapa cuf ikiingia ccm zbar,inajifunga pote Tanzania kwa kuwa ni chama cha Taifa na si si zone moja. Kama Tanzania ingekuwa inapigiwa kelele,je ili lingekuwa la msingi kukifuta cuf kama chama pinzani na kukiita chama tawala na si kwa zbar bali kwa taifa. Mkuu sitaki kuongea mengi ntakuchosha ila yapo mengi kutokana na hoja yako. Mwisho nakubaliana na wewe kwa %nyingi kuwa tujadili siasa na si yatokanayo na siasa,ila kwa kuwa jf is a place to dare to speak openly,speak anything constructive and wait to be corrected! And here I stand to be corrected!

Gsana, si unaona tunachotakiwa kufanya? Hebu fikiria ungeandika crap halafu ukaacha haya mawazo yangekuwepo? Kwa maelezo yako mazuri umethibitisha umuhimu wa kuwanyoosha wale wanaoharibu Jukwaa la Siasa.

Kuhusu tamko langu la kuipenda CDM sioni kama nimekosea kwa sababu nimetaja ni sababu zipi zinanifanya niikubali. Sijasema haina mapungufu. Inayo na ni jukumu langu mimi na wewe kuyarekebisha kwa kuwasikiliza wengine. Kitendo cha sisi kama wana-CDM kutofautiana mawazo na kujadili hoja ndicho kinachotakiwa sio kusupport kila kitu ili mradi tunatetea. Chama chetu kitakuwa imara kupitia sisi wenyewe. Viongozi wetu watatuheshimu tukiwa na mawazo bora na endelevu! Wakikosea tutawaambia na watatusikiliza!
 
Back
Top Bottom