Jukwaa la Siasa lisilojaadili Siasa!! Uvivu wa Kufikiri na Hoja za Kufuata Mkumbo!

Mkuu MsandoA.,

Makala yako ni muamsho kwa wanaJF wengi ambao kweli ni bendera kufata upepo, mipasho na matusi. Pia jukwaa limevamiwa na wapenzi wa CDM ambao huona wengine wa vyama vyengine au wasio na vyama hawana haki ya kutofautiana na misimamo yao. Kwa hili umegusa ukweli mtupu.

kuna kipande hiki katika makala yako.."Tatizo la CDM ni kutokusimamia ukweli kwamba 'kila chama kisimame kwa miguu yake na kitekeleze au kisimamie sera zake'.

Mkuu wako watu, mimi ni mmoja wapo ambao ningependa kuona upinzani unashirikiana, kwani kazi ya kuing'oa CCM ni ngumu kwa chama kimoja kimoja...Lakini hiyo red, jee huo ni msimamo mpya kuanzia 2010? Au ni kwa sababu CDM imepata wabunge 20 uchaguzi wa 2010?

Huo sio msimamo wa CDM. Ni maoni au mawazo yangu kama Alberto. Chama kina taratibu zake za kutoa misimamo na inawezekana msimamo huo ukapingwa na wanachama wengine wengi hivyo kukosa sifa ya kuwa msimamo wa pamoja.

Tatizo la ushirikiano ni kwamba viongozi wa vyama haviaminiani. Tatizo la Mrema na CDM ni pale ambapo alitangaza waziwazi kumkubali Kikwete na alipoanza kumshambulia Dr Slaa wakati wa kampeni Vunjo. Hii ilikuwa ni baada ya CDM kumsimamisha John Mrema kama mgombea. Hoja ya CDM ilikuwa ni kwamba John ni kijana na ana elimu. Mrema ni mzee na muda wa siasa umefika kikomo. Kutokana na tofauti hizo ushirikiano ukashindikana.

Cuf unajua yanayojiri! Bado kwao ni kwamba kama inawezekana kuunda serikali ya kitaifa bara na CCM haina tatizo. Ni kwa maslahi ya Taifa!

Ni vizuri kama wanaJF tukalingalia upya suala la ushirkiano wa vyama na kutoa mawazo yetu. Isiwe kwa sababu CDM na CUF hawajaungana au kwa sababu tunataka waungane. Tuzungumzie ni maslahi yapi ya Taifa na yatapatikanaje kwa ushirikiano wa vyama vya siasa tulivyonavyo!!
 
Mkuu MsandoA.,

M Pia jukwaa limevamiwa na wapenzi wa CDM ambao huona wengine wa vyama vyengine au wasio na vyama hawana haki ya kutofautiana na misimamo yao.

wana CCM au mana CUF au muungano wa CUF na ccm unaruhusiwa na kuwa na uhuru kuungana humu JF na kuwa na movement group inside the forum...hivyo basi CHADEMA inside JF ni uelekezi na ishara kuwa CDM inauono na umakini na kukubalika katika nchi hii.... wengi wape katika slogan ya JF inayosema its where we dare to talk openly
 
Sawa, ila Fisadi Kikwete anatakiwa kuondolowe haraka sana kwa manufaa ya Taifa:coffee:
 
USIONE UVIVU SOMA KIDOGO

Politics
[FONT=MS Pゴシック]is a process by which a group of people make collective decisions. The term is generally applied to the art or science of running governmental or state affairs. It also refers to behavior within civil governments. However, politics have been observed in other group interactions, including corporate, academic, and religious institutions. It consists of "social relations involving authority or power" and refers to the regulation of public affairs within a political unit,  and to the methods and tactics used to formulate and apply policy.[/FONT]
Definitions of politics on the Web:
  • social relations involving intrigue to gain authority or power; "office politics is often counterproductive"
  • the study of government of states and other political units
  • the profession devoted to governing and to political affairs
  • the opinion you hold with respect to political questions
  • the activities and affairs involved in managing a state or a government; "unemployment dominated the politics of the inter-war years"; "government agencies multiplied beyond the control of representative politics"
Politics is the activity through which people make, preserve and amend the general rules under which they live. As such, it is an essentially social activity, inextricably linked, on the one hand, to the existence of diversity and conflict, and on the other to a willingness to co-operate and act collectively.
Politics has been understood differently by different thinkers and within different traditions. Politics has been viewed as the art of government or as ‘what concerns the state’, as the conduct and management of public affairs, as the resolution of conflict through debate and compromise, and as the production, distribution and use of resources in the course of social existence.
Sources
wikipedia.org/wiki/Politics -
[FONT=MS Pゴシック]http://www.palgrave.com/skills4study/subjectareas/politics/what.asp,[/FONT]
wordnetweb.princeton.edu/perl/webwn
[FONT=MS Pゴシック],[/FONT]
 
Tatizo letu tunaelekeza hasira zetu kule ambako sio! Hatukai chini kujipanga tufanye nini kupiga hatua! Tunatumia muda mwingi kupata taarifa ambazo hatuna cha kufanya zaidi ya kuongeza hasira!

Agree!!!, and this is contrary to the name of this forum "Jamii Forums the Home of the great thinkers"
Please change! contribute constructive points which show or lead to solutions.
I suggest that we identfy the reason why many members (representing a segment of our society) are very slow in contributing to address problems but rather complain.
 
Huo sio msimamo wa CDM. Ni maoni au mawazo yangu kama Alberto.
Tatizo la ushirikiano ni kwamba viongozi wa vyama haviaminiani. Tatizo la Mrema na CDM ni pale ambapo alitangaza waziwazi kumkubali Kikwete na alipoanza kumshambulia Dr Slaa wakati wa kampeni Vunjo. Hii ilikuwa ni baada ya CDM kumsimamisha John Mrema kama mgombea. Hoja ya CDM ilikuwa ni kwamba John ni kijana na ana elimu. Mrema ni mzee na muda wa siasa umefika kikomo. Kutokana na tofauti hizo ushirikiano ukashindikana.

Ni vizuri kama wanaJF tukalingalia upya suala la ushirkiano wa vyama na kutoa mawazo yetu. Isiwe kwa sababu CDM na CUF hawajaungana au kwa sababu tunataka waungane. Tuzungumzie ni maslahi yapi ya Taifa na yatapatikanaje kwa ushirikiano wa vyama vya siasa tulivyonavyo!!
Mkuu hapo red,

Hivi CDM hawataki kutibu majeraha ya uchaguzi? na kukaa pamoja na hao wengine? Uchaguzi umemalizika au vipi?

Mambo ambayo yanawaunganisha wananchi wote ni mengi lakini kama tayari vyama hivi ambavyo vinategemewa vipaze sauti za wanyonge na kuwatetea hazina platform ya kufanya kazi kwa ushirikano sasa hatuoni kuwa inafanya kazi ya kumtetea mwananchi wa kawaida iko restricted?
Pitia hii uone,
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-david-kafulila-walipaswa-kutumia-busara.html

CDM inavyotetewa hata pale inaposhindwa ku-forecast implication ya maamuzi yao, moja ni hilo la kuwa bado kwenye uchaguzi mode!na kushindwa kuponya makovu ya uchaguzi na washindani wenzake, mfano NCCR.

Pia tunasahau kuwa hivi vyama vyengine ambavyo tunaviona kuwa ni "fake" vinawakilisha wapiga kura ambao ni sehemu ya jamii hii ya Tanzania na kuwaona watu hao kuwa ni wapumbavu au wamepotoka kwa sababu hawawaungi mkono CDM basi tunafanya kosa na tunaipindisha maana ya demokrasi.
 
2 issues possible.moja inawezekana mwalim au waalimu wako walikufundisha maana ya siasa.pili inaweza wew ulishindwa kuwaelewa waalimu wako wakat ukijifunza maana ya siasa.maana nahic tunatofautiana kwny neno la nin maana ya siasa.
 
Mkuu hapo red,

Hivi CDM hawataki kutibu majeraha ya uchaguzi? na kukaa pamoja na hao wengine? Uchaguzi umemalizika au vipi?

Mambo ambayo yanawaunganisha wananchi wote ni mengi lakini kama tayari vyama hivi ambavyo vinategemewa vipaze sauti za wanyonge na kuwatetea hazina platform ya kufanya kazi kwa ushirikano sasa hatuoni kuwa inafanya kazi ya kumtetea mwananchi wa kawaida iko restricted?
Pitia hii uone,
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-david-kafulila-walipaswa-kutumia-busara.html

CDM inavyotetewa hata pale inaposhindwa ku-forecast implication ya maamuzi yao, moja ni hilo la kuwa bado kwenye uchaguzi mode!na kushindwa kuponya makovu ya uchaguzi na washindani wenzake, mfano NCCR.

Pia tunasahau kuwa hivi vyama vyengine ambavyo tunaviona kuwa ni "fake" vinawakilisha wapiga kura ambao ni sehemu ya jamii hii ya Tanzania na kuwaona watu hao kuwa ni wapumbavu au wamepotoka kwa sababu hawawaungi mkono CDM basi tunafanya kosa na tunaipindisha maana ya demokrasi.

Nakubaliana nawe kamanda. Its wrong for a political party to judge another as being fake or anythng. That is wrong!
 
Fine naomba kuelimishwa je ni kipi kinatakiwa kizungumzwe hapa? siasa ipi na malalamiko yapi? tuwekane wazi ili tujue ni nini kinatakiwa kuongelewa hapa tashukuru kama taelimishwa
 
Nakubaliana nawe kamanda. Its wrong for a political party to judge another as being fake or anythng. That is wrong!
MsandoAlberto,
Heshima kwako mkuu,
Lakini ukae tayari wanaCDM wenzako watakushukia hapa na watakwambia umelainika, au umepotoka..kwao chama TZ ni kimoja tu, CDM.

Mkuu, kweli majadiliano yakienda kama hivi,bila matusi, kejeli,kuitana majina basi tutajenga msingi mzuri, siku tukiingia sehemu za kuwatumikia wananchi,mjengoni kwa wale wenye nia hizo tutakuwa tuna utamaduni wa kwenda na hoja, sio mipasho.
again ,heshima kwako mkuu.
 
Fine naomba kuelimishwa je ni kipi kinatakiwa kizungumzwe hapa? siasa ipi na malalamiko yapi? tuwekane wazi ili tujue ni nini kinatakiwa kuongelewa hapa tashukuru kama taelimishwa
Bruce Lee,
Tunalalamika kuhusu malalamiko kama sijakosea.Pi mtoa kasema kuwa yeye ni chadema so kama unaswali kuhusu chadema maybe atakusaidia,otherwise take your time and read the first post,maybe itakusaidia kidogo kuhusu ni nini cha kuzungumza.
 
MsandoAlberto,
Heshima kwako mkuu,
Lakini ukae tayari wanaCDM wenzako watakushukia hapa na watakwambia umelainika, au umepotoka..kwao chama TZ ni kimoja tu, CDM.

Mkuu, kweli majadiliano yakienda kama hivi,bila matusi, kejeli,kuitana majina basi tutajenga msingi mzuri, siku tukiingia sehemu za kuwatumikia wananchi,mjengoni kwa wale wenye nia hizo tutakuwa tuna utamaduni wa kwenda na hoja, sio mipasho.
again ,heshima kwako mkuu.

Nonda, sijalainika wala kupotoka. Sitaki kuwa mnafiki. Lyatonga na mapungufu yake ya kutokueleweka is a person who i closely work with. Yeye ndie alisaidia ushirikiano wa madiwani wa Tlp na Cdm Moshi. CDM tuko pamoja na Tlp and halmashauri inanyooka. Atakayekurupuka kunishukia then atakuwa anatumia nafasi yake ya kuchangia! Tusimshangae!
 
Fine naomba kuelimishwa je ni kipi kinatakiwa kizungumzwe hapa? siasa ipi na malalamiko yapi? tuwekane wazi ili tujue ni nini kinatakiwa kuongelewa hapa tashukuru kama taelimishwa

Bruce, tunachojaribu kuweka sawa ni tabia ya watu kuweka post nyepesi i.e. Post ambazo hazitusaidii kupata suluhisho la matatizo ya nchi yetu yatokanayo na siasa mbovu. Pia kulalamika tu haitoshi, tuanike matatizo lakini pia tuseme nini kifanyike. Tukibaki kusema 'umasikini umekithiri' bila kutaja na kuelezea sababu na kupendekeza suluhisho hatutakuwa tumelitendea jukwaa haki
 
Of late JF has become even worse.Kumekuwa na wimbi la hoja zisizo na mshiko hata kidogo.Hoja sizizo saidia jamii kwa aina yoyote.I think it's time we changed.Wengine tulisha aga humu kwa sababu tuliona tunajidhalilisha bure.
 
Thanx Albeto kwa kuwa wazi. Jukwaa la siasa hapa kwa wanaJF wachache, wavivu wa kutafiti, kufikir na kutafakuri b4 kutype-linamaanisha JUKWAA LA CHADEMA. Na lazma ukishabikie azawaiz umetumwa na hauko kwa maslah ya waTz. Then matus kbao... Alaf uyo mtu anajiita great thinker wa siasa?

MIMI naona ni uvivu wa fikra na kujishugulisha, km walivo wapenda madaraka. Mtu wa 2-makandokando kujib post hii kathibitisha chanzo cha tatizo. Ati maneno mengi, fupisha. Kwanin unaogopa details wkt ukwel ndo uko humo kwny details? Ndo mana ccm wanawadanganya kila cku na statistics za uongo..wakijua hamwend kwny details-mfno idad a wapga kura, mfmko wa bei, bajet za uongo bungeni (mnasoma vsamar tu), vifo vya wajawazto, mauaj arusha nk..
Guys, put yo brains into work!
 
Iyanka...
Ktk defn ulizopaste apo, this works for us: "the opinion you hold with respect to political questions" meaning sio matusi na kuropoka, bali mtazamo wa ishu inayojadiliwa. Maneno km Crap, umetumwa, nenda michuzi..etc ni opinions..lkn do apply appropriately. Of koz nkitoa hoja na facts zangu ukasema tu crap bila kuijustfy, unaweza kuwa crapmaster!

Tujustfy arguments zetu, ndo cha msingi. Hoja kwa hoja, tena ya haja. Na kurespect opinions. Tuwaignore wasema ovyo. Au invizbo awawekee jukwaa lao la wasema hovyo kwny chochote, labda kwao ni njia ya kupunguza STRESS za haya maisha magumu kwa kila mtanzania! We need these services 4em.
 
Back
Top Bottom