Jukwaa la muziki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jukwaa la muziki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mfwatiliaji, Apr 6, 2011.

 1. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wakuu,
  nimengojea, bila mafanikio sioni hili jukwaa likirudi.
  Tatizo ni nini jamani?
  Utawala JF wengi tunangojea kwa hamu kubwa kuona likirudishwa.
  Natanguliza shukrani, kwa niaba ya wapenzi wa jukwaa
   
 2. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2011
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 645
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Hili jambo nimejiuliza sana na mimi, huenda ni matengenezo makubwa linafanyiwa kwa hiyo tujiandae mkao wa kula na ili liwe bora wana JF tungeshirikishwa tunaweza kutoa mchango kwani naamini kuna watu wana hazina ya nyimbo nyingi kwenye PC zao.
   
 3. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wakuu JF, nimeona nikumbushie tena..
  kama limefutwa moja kwa moja ingekuwa vema tuambiwe ili tuondoe dukuduku kwamba kuna matumaini litarudishwa tena..
   
Loading...