sonofobia JF-Expert Member Joined Jun 21, 2015 Posts 1,321 Reaction score 4,767 Yesterday at 2:08 AM #1 Naulizia ili jukwaa pendwa la love connect limepotelea wapi? Kama liliondolewa sababu ni nini?
Norshad JF-Expert Member Joined Jun 3, 2013 Posts 5,264 Reaction score 12,731 Yesterday at 2:10 AM #2 Sababu chaputa walipita nalo, wako nalo gheto
N New Designer JF-Expert Member Joined Aug 8, 2025 Posts 518 Reaction score 812 Yesterday at 2:12 AM #3 sonofobia said: Naulizia ili jukwaa pendwa la love connect limepotelea wapi? Kama liliondolewa sababu ni nini? Click to expand... Daah nimetoka kuli search sahivi ngoja niangalie kwenye threads zangu nilizo postigi
sonofobia said: Naulizia ili jukwaa pendwa la love connect limepotelea wapi? Kama liliondolewa sababu ni nini? Click to expand... Daah nimetoka kuli search sahivi ngoja niangalie kwenye threads zangu nilizo postigi
N New Designer JF-Expert Member Joined Aug 8, 2025 Posts 518 Reaction score 812 Yesterday at 2:15 AM #4 sonofobia said: Naulizia ili jukwaa pendwa la love connect limepotelea wapi? Kama liliondolewa sababu ni nini? Click to expand... aaaah wamefuta mkuu wangu kisha nyuzi wameunganisha kwenye jukwaa hili moja
sonofobia said: Naulizia ili jukwaa pendwa la love connect limepotelea wapi? Kama liliondolewa sababu ni nini? Click to expand... aaaah wamefuta mkuu wangu kisha nyuzi wameunganisha kwenye jukwaa hili moja
jambo Dunia JF-Expert Member Joined Jun 6, 2026 Posts 282 Reaction score 774 Yesterday at 2:15 AM #5 Itakuwa lilikosa wadau likaamua likae pembeni
N New Designer JF-Expert Member Joined Aug 8, 2025 Posts 518 Reaction score 812 Yesterday at 2:16 AM #6 jambo Dunia said: Itakuwa lilikosa wadau likaamua likae pembeni Click to expand... aaah wapi lilikuwa la moto sana
jambo Dunia said: Itakuwa lilikosa wadau likaamua likae pembeni Click to expand... aaah wapi lilikuwa la moto sana
danceforme JF-Expert Member Joined Aug 3, 2026 Posts 548 Reaction score 1,305 Yesterday at 2:18 AM #7 Kama vipi liundwe upya
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,124 Reaction score 137,247 Yesterday at 6:00 AM #8 Waliona tunafaidi sana kwenye kutafuta kirahisi wachumba wa kuoa.