Unautafuta kwa kasi u_DED wa mkinga.Ataanzisha vipi mchakato wa katiba mpya ilhali haikuwa kwenye ajenda zake? Kwa sasa anainyoosha kwanza nchi. Katiba mpya tutaanza kuijadili mwaka 2024
Ni kuiboresha iliyopo mapungufu yake inatoshaAtaanzisha vipi mchakato wa katiba mpya ilhali haikuwa kwenye ajenda zake? Kwa sasa anainyoosha kwanza nchi. Katiba mpya tutaanza kuijadili mwaka 2024
Bila ya katiba bora inainyoosha vipi nchi?Ataanzisha vipi mchakato wa katiba mpya ilhali haikuwa kwenye ajenda zake? Kwa sasa anainyoosha kwanza nchi. Katiba mpya tutaanza kuijadili mwaka 2024
Trump hana habari na bavicha.Warioba mwenyewe keshapewa pakufutia machoz. Trump ndio mwarobain mengine rabish
Ataanzisha vipi mchakato wa katiba mpya ilhali haikuwa kwenye ajenda zake? Kwa sasa anainyoosha kwanza nchi. Katiba mpya tutaanza kuijadili mwaka 2024
Inaonekana wewe haupo Tanzania maana si kupinda tu imepinda mpaka imekatika!Anainyoosha kwani ilikua imepinda?