Jukwaa la Katiba kutangaza Maombolezo ya siku 9!

Labda unawasemea Jukwaa la Katiba

1. Sijawahi kusikia makubaliano kati CDM na Jukwaa la Katiba

2. Hata siku moja usifikie kwenye hitimisho kama hujafikia lengo lako

Unachotaka kutueleza kajadili na wenzio muwaache CDM ili na nyinyi msiwe vitegemezi
 
Tuache ujinga tunasubiri john mnyika na john mrema waende wakatuletee katiba mpya ikulu sasa wameishia kupiga picha na kunywa juice pale magogoni.tatizo la baadhi ya watanzania wanazani viongozi wa chadema ni miungu.sasa jukwaa la katiba hawajui kwamba tundu lissu alisha lamba pesa ili awashawishi wabunge wa chadema watoke nje ili muswada upite?watanzania unajua siasa au ni mavuvuvela ya wanasiasa.
 
Sasa kuna haja ya kurudisha nguvu kuleee...CCJ...Au tuanzishe chama cha wasiopenda kutumiwa na wanasiasa uchwara. CCWKWU.
 
Back
Top Bottom