Jukwaa la elimu

josepaintz

New Member
Dec 14, 2018
4
0
Habariii memberz kuna mdogo wangu kamaliza shule 2014 anataka kwenda kusoma dit diploma anaweza kupokelewa? Ana C physcs C math C geog D chemistry na E english language???
 
Anapokelewa but itategemea na Competition ya mwaka husika. Pia sijajua mfumo wa pre mature entry kama unafanya kazi till this late
 
Back
Top Bottom