Jukwaa la Africa Mashariki - tumerogwa?

nimie

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
525
104
Nimeshangazwa sana na kauli ya Samweli Sitta katika ufunguzi wa Jukwaa la Afrika Mashariki. Anasema litajumuisha nchi zote 5 na taasisi ya moja ya Ujerumani. Hivi kweli hatuwezi kufanya kitu chetu hadi tuombe msaada wa wazungu kutusimamia! Mbona tunajifanya viwete wa kufikiri na kufanya maamuzi?
 
Hapo Mkuu, naoni wewe tu na mawazo yako, kwani watu wa Africa Mashariki hawashirikiani na Nchi nyingine zisizo ktk jumuia hiyo? Labda Unge Dadavua Kidogo Tatizo ni nini?
 
Hapo Mkuu, naoni wewe tu na mawazo yako, kwani watu wa Africa Mashariki hawashirikiani na Nchi nyingine zisizo ktk jumuia hiyo? Labda Unge Dadavua Kidogo Tatizo ni nini?
Likwanda, ni kweli tunashirikiana na nchi nyingine lakini mambo yanayotuhusu sie na umoja wetu tungeyashughulikia wenyewe. Why wazungu tena taasisi tu. Hivi EU waliomba msaada toka wapi? Tukianza tuchanganya na mitazamo ya nje watatumezesha matango mwitu tu, na sie kwa kubugia vya wazungu hatufai!
 
Back
Top Bottom