jukwaa nnalolipenda kuliko yote ni lile la chini kabisaaaa. Sababu halinaga ban.
We je, unapenda lipi?
Hayo majukwaa hayafai, ukiingia kichwakichwa ban nje nje.Karibia yote isipokuwa dini na siasa unaweza ingia na furaha lkn siku yako ikaharibikia huko..
Haya majukwaa inapasa kutia mguu mmoja kwanza ikiwa ni vyema ndipo unatumbukiza wa pili?
jukwaa nnalolipenda kuliko yote ni lile la chini kabisaaaa. Sababu halinaga ban.
We je, unapenda lipi?
Mm nayapenda yote kabisa isipokuwa la mmu
hizo ni dalili za kuumizwa moyoni, eneo la mahusiano. . pole
basi huwaga silishabikii kivile ila mara moja naendaga kuweka thread tu na kutoka,
wala sijaumizwa na yeyote hapa nawapenda wote humu mjengoni kwani ni marafiki zangu wa dhati hata wewe pia
angalia my wife asikuone mi sitaki shida ujue