jukwaa nnalolipenda kuliko yote ni lile la chini kabisaaaa. sababu halinaga ban.
we je, unapenda lipi?
charminglady anayajua haya?
Jukwaa nnalopenda ni la ............ nijazie nimeyasahau.
Wakubwa
Jukwaa la utambusho full kujiachia hakuna stress za ban.jukwaa nnalolipenda kuliko yote ni lile la chini kabisaaaa. sababu halinaga ban.
we je, unapenda lipi?
ukiona hizo dalili unapotembelea lile jukwaa ni kuwa under 18 years.Kule siendagi
kuna wakati nilijaribu
nikwa napata baridi mwili mzima
ikabidi niachilie mbali.
Shem, kwani hua mna tatizo la kupata apetait hadi muanzie pononi ?
Si mridhike tu na chaji za asili, tofauti na kujichaji chaji bandia?
Hata Complaints Congrats and advice lipo ban free. Natoleaga stress zangu zote pale ila sijaguswa! Mods wanakuwa wapoooole.jukwaa nnalolipenda kuliko yote ni lile la chini kabisaaaa. sababu halinaga ban.
we je, unapenda lipi?
Chaji zipo ila tunaangalia mitindo mbalimbali kha!!! kwa raha zetu........