Jukumu na kuajibika

Jukumu na kuajibika

EDDIE NTUTU

New Member
Joined
May 25, 2011
Posts
2
Reaction score
0
Jameni! nijambo la kushangaza kwa vijana wa umri ndogo kupoteza mwelekeyo,hivi ni kuwa mtu unalelewa kama mwelekeo huna,wazazi huwasaidii,shule unaenda shingo pande,kuamka ni saa tano,kazi twachukuwa miaka kuchagua,mungu tumemsahau......jameni!?
 
Back
Top Bottom