Mdude_Nyagali
Member
- Dec 11, 2022
- 84
- 1,494
Ni mtu yeyote yule mwenye mapenzi mema na taifa lake dhidi ya kikundi cha watu wachache waliojipatia madaraka kwa kupora haki ya mwananchi kumchagua kiongozi amtakaye.Wanaharakati ni kina nani hao?
So far mmeshauza vitu vingapi?CHADEMA, Bado sana kupewa nchi hii, wataivuruga vurugu, waibe watuachie majanga, twendeni hivi hivi na CCM yetu imara,tusihadaike kwa kauli tamu zenye kumtoa nyoka pangoni, mfumo uliopo chini ya CCM ni mfumo safi.
Polisi ni kituko cha karneJukumu letu sisi kama wanaharakati ni kukomesha siasa za kitapeli. Siasa za kitapeli ni kikundi cha watu wachache kujipatia madaraka kwa mtutu wa bunduki halafu wanadanganya kuwa wamechaguliwa.
#NoReformsNoElection .
“Waibe” ? Kuna chama chenye kashfa hiyo kama ccm🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣CHADEMA, Bado sana kupewa nchi hii, wataivuruga vurugu, waibe watuachie majanga, twendeni hivi hivi na CCM yetu imara,tusihadaike kwa kauli tamu zenye kumtoa nyoka pangoni, mfumo uliopo chini ya CCM ni mfumo safi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Mfumo safi au siyo?CHADEMA, Bado sana kupewa nchi hii, wataivuruga vurugu, waibe watuachie majanga, twendeni hivi hivi na CCM yetu imara,tusihadaike kwa kauli tamu zenye kumtoa nyoka pangoni, mfumo uliopo chini ya CCM ni mfumo safi.
Labda Mbunge wa machiziLucas Mwashambwa uje haraka huku umsalimie Mbunge wako mtarajiwa wa Mbozi.
mwandiko wa fisadi anayekula kwa urefu wa kambaCHADEMA, Bado sana kupewa nchi hii, wataivuruga vurugu, waibe watuachie majanga, twendeni hivi hivi na CCM yetu imara,tusihadaike kwa kauli tamu zenye kumtoa nyoka pangoni, mfumo uliopo chini ya CCM ni mfumo safi.
ni muhimu zaidi kupuuza mambo ya kitapeli kwa wananchi ambayo hayana faida na yanadhoofisha ustawi wa demokrasia kama vile no reform no elections.Jukumu letu sisi kama wanaharakati ni kukomesha siasa za kitapeli. Siasa za kitapeli ni kikundi cha watu wachache kujipatia madaraka kwa mtutu wa bunduki halafu wanadanganya kuwa wamechaguliwa.
#NoReformsNoElection .
Ndio muache ufisadi na ubinafsi.CHADEMA, Bado sana kupewa nchi hii, wataivuruga vurugu, waibe watuachie majanga, twendeni hivi hivi na CCM yetu imara,tusihadaike kwa kauli tamu zenye kumtoa nyoka pangoni, mfumo uliopo chini ya CCM ni mfumo safi.
Siku ya uchaguzi watu kama wewe ndo tunawatani ,Hatutakuua lakini walau upate majeraha ya mawe ya kutosha .TumechokaCHADEMA, Bado sana kupewa nchi hii, wataivuruga vurugu, waibe watuachie majanga, twendeni hivi hivi na CCM yetu imara,tusihadaike kwa kauli tamu zenye kumtoa nyoka pangoni, mfumo uliopo chini ya CCM ni mfumo safi.
Unaogopa ccm ikitoka madarakani utakosa pa kula. Hata wapambe wa KANU hapo Kenya walikuwa na ngonjera hizihizi. Leo KANU haipo, na Kenya ina uchumi mzuri kuliko sisi tunaoburuzwa na ccm.CHADEMA, Bado sana kupewa nchi hii, wataivuruga vurugu, waibe watuachie majanga, twendeni hivi hivi na CCM yetu imara,tusihadaike kwa kauli tamu zenye kumtoa nyoka pangoni, mfumo uliopo chini ya CCM ni mfumo safi.
nge-ke mkubwa wewe ,kwann ccm hamna uwezo wa kutofautisha nchi na serikaliCHADEMA, Bado sana kupewa nchi hii, wataivuruga vurugu, waibe watuachie majanga, twendeni hivi hivi na CCM yetu imara,tusihadaike kwa kauli tamu zenye kumtoa nyoka pangoni, mfumo uliopo chini ya CCM ni mfumo safi.