Juice za azam na tatizo la kupata choo kigumu

Foundation

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
1,421
596
Kuna tatizo la kupata choo kigumu ambalo huwapata watu, tatizo hili husababisha kutoka uvimbe kwenye haja kubwa. Kama tujuavyo choo laini kinapatikana kwa kula matunda kama ndizi,mapapai nk pamoja na kunywa maji mengi sana. Lakini nimefanya utafiti siku za karibuni na kugundua kwamba Juice za Azam kama MANGO NA TROPICAL MIX pia zinasababisha mtu apate choo laini sana.

Sijaja kutangaza biashara hapa ila nawashauri wenye matatizo ya choo wanywe juice za Azam hasa za Tropical mix na Mango mara kwa mara na watapata majibu sahihi

NAWASILISHA
 
Hili nadhan lina ukweli.......sasa napata jibu
isipokua ukinywa sana.....utakua mgeni wa chooo chako.......asante sana mtoa mada
 
Nimecheka mno. Kama sio tangzo la biashara basi angalau ungeipeleka kule kwenye jukwaa la JF Dokta.
 
kula matunda asili mkuu...achana na kemikali hizo.kama una tatizo la choo kula papai uone kama hujapata
c ndio watakua hawachukuliwi kabsa v2on,ka sa hz 2 wanalipa sh 100lakni bado wananyaswa na makonda,ndo ije iwe bure kwao,maisha ya wadogo ze2 hasa wa hapa dar yatakua magum sana.
 
khabari yake senetor banaa! umeamka na kizunguzungu ama mie ndo nna hangover? nahisi kama umepotea njia vile...
c ndio watakua hawachukuliwi kabsa v2on,ka sa hz 2 wanalipa sh 100lakni bado wananyaswa na makonda,ndo ije iwe bure kwao,maisha ya wadogo ze2 hasa wa hapa dar yatakua magum sana.
 
uongo mbaya hata Ice Cream za Azam ni nzuri sana napenda product zao (sio promo ni kutoka moyoni)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom