Juice ya tende

Juice ya tende

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,467
Reaction score
65,789
Hello

Leo bhna nimeamua tujifunze kutengeneza juice ya tende

Mahitaji
Maziwa
Tende

Hatua ya kwanza chukua tende zaka kama hivi
1742383716762.jpeg

Kisha anza kutoa mbegu za tende zile zilizopo katikati kama hivi
1742383768749.jpeg

Baada ya hapo nikachukua maziwa mimi nilichemsha kwanza
1742383805012.jpeg

Nikachukua tende na maziwa nikaweka kwenye brenda
1742383840835.jpeg

Maziwa unaweza weka kiwango unachotaka ila hakikisha haya zidi ikafanya juice iwe nyepesi
1742383886500.jpeg

Juice yangu hiyo ipo kwenye jokofu nasubiri ipate ubaridi niinywe

Mimi nitakula na ndizi za kukaaanga wewe unaweza kula na kitu chochote ukipendacho wewe

Usinunue juice ya tende mwambie mkeo au tengeneza mwenye mzuri kwa afya yako

1742384046161.jpeg
 
Mnakabiliana vipi na sukari ilioko kwenye hio juice😁!? Maana binafsi tende moja tu sukari yake kwenye ulimi hufanya mwili wangu wote kusisimuka.

Niliwahi agiza juice ya tende katika mgahawa mmoja Mlimani City ilinishinda.
Hii mm sijatia sukari kabisa wengine wanaweka ila mm siweki kwhy ata ukinywa ukinai
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom