pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,355
Nipo mkuu, Naona mwenzako Nabii Tito mlimpiga stopa kwenye kileo. Asee hamna masihara. Hamtaki kabisa tujifariji kiroho kwenye brown baridi? 😀😀😀😀😀😀 Jirani kumbe upo? hapo pipi ni moja moja tu hadi tukijenga kiwanda... 😀😀😀😀😀