Juhudi zote hizi, kumbe ufisadi bado upo hadi awamu hii?

Kajolijo

JF-Expert Member
May 30, 2016
3,364
4,612
Kweli watanzania ni hatari hicho ndicjo unachoweza kusema, yaani licha ya juhudi hizi za mheshimiwa, kutumbua wale wanaotumia fedha za umma vibaya, licha ya mahakama ya mafisadi bado watu hawakomi? Leo gazeti la RAI limeriport ufisadi wa ml 198 zilizotumika kuchunguza ml18.
IMG_20170111_051022.jpg

Mytake: Kwa namna hii ni kweli wabongo tumeshindikana aisee
 
sasa kama mahakama haijawahi sikiliza kesi hata moja, wanaotumbuliwa kwa kashfa hawashtakiwi nani atakuwa na uoga wa kunguru wa kukimbia bawa lake... hii serikali ni ya kubwata tu kuliko kutekeleza.. yuko masamaki na wenzie baada ya dhamana... harry kitilya... mkurugenzi tanapa... mapichapicha kama ya snura tu..
 
Hiii ni vita kali na si uonavyo wewe. Ni kweli a nania njema ila sirahisi kiivyo watu wametoka ujamaa ukawapeleke ki American wapi wapi pole yake nchi hii asiitaji hasira pole pole ndo mwe ndo wa stages ukikimbia u naweza anguka
 
milioni 198/- imetumika kuchunguza ufisadi wa milioni 18/-. :eek: eeh au nimesoma vibaya
 
Mmmh million 198 kwa million 18.!??

Maajabu haya uchanguzi umekamilika au tuwaongezee pesa mkamilishe uchunguzi..!??
 
Miradi yote mikubwa inafanywa bila budget na ridhaa ya bunge,jamaa ni kibaka kama vibaka wengine ccm
 
Back
Top Bottom