Juhudi za Rais Samia kuwarejesha waliotenguliwa wa Hayati Magufuli tuzitafsiri vipi?

Ukiangalia kwenye wizara ya nishati kampa januari aliyekua anamsengenya na kumwita jpm mshamba. Katibu wake mkuu ni mramba aliyetumbuliwa tanesco kwa kutaka kupandisha bei ya umeme wakati lengo la jpm ni kushusha bei ya umeme.

Huku kwenye habari kamrudisha nappe. Huyu alitumbuliwa na jpm kwa kutowajibika vizuri na kukosa weledi. Wenye kujua ndio tulielewa.

Waziri anawezaje kwa uamuzi wake binafsi kuunda tume eti kumchunguza mkuu wa mkoa. Alivyo kilaza akadai hawezi acha kumtetea wema sepeku eti baba zao walikua marafiki na mama zao wote wanatoka singida. Ndio watu mama analeta kwenye baraza la mawaziri na kumtosa mtu kama mwanasheria nguli kabudi.

Ok nisiwe unfair sana kwa mama kuna vichwa vingi kaviretain ila asije kuleta pwanigang. Mimi naamini sukumagang was just a coined term kufanya uchochezi kumpinga magufuli.

Kuna mawaziri watano toka mikoa ya pwani. Competance yao wala sio shindani. Ni kundi la wale polepole alisema kwenye shule yake iliyofungwa.
Jogoo wa shamba awiki mjini,wa mjini ni wa mjini tu
 
Hii ni serikali ya Samia sio Magufuli
 
Zanzibar wapo wa'iowahidai Tanganyika inaifanya koloni sasa isije wabara wakadai wanatawaliwa pia. Kama vile kuna maneno chinichini
 
Ukiangalia kwenye wizara ya nishati kampa januari aliyekua anamsengenya na kumwita jpm mshamba. Katibu wake mkuu ni mramba aliyetumbuliwa tanesco kwa kutaka kupandisha bei ya umeme wakati lengo la jpm ni kushusha bei ya umeme.

Huku kwenye habari kamrudisha nappe. Huyu alitumbuliwa na jpm kwa kutowajibika vizuri na kukosa weledi. Wenye kujua ndio tulielewa.

Waziri anawezaje kwa uamuzi wake binafsi kuunda tume eti kumchunguza mkuu wa mkoa. Alivyo kilaza akadai hawezi acha kumtetea wema sepeku eti baba zao walikua marafiki na mama zao wote wanatoka singida. Ndio watu mama analeta kwenye baraza la mawaziri na kumtosa mtu kama mwanasheria nguli kabudi.

Ok nisiwe unfair sana kwa mama kuna vichwa vingi kaviretain ila asije kuleta pwanigang. Mimi naamini sukumagang was just a coined term kufanya uchochezi kumpinga magufuli.

Kuna mawaziri watano toka mikoa ya pwani. Competance yao wala sio shindani. Ni kundi la wale polepole alisema kwenye shule yake iliyofungwa.
Siasa si uadui,adui yako si adui yangu,Magufuli alimtumbua simbachawene baadae kamrudisha, Magufuli huyo huyo alimtumbua mwigulu na baadae kamrudisha

#Kazi iendelee
 
Ukiangalia kwenye wizara ya nishati kampa januari aliyekua anamsengenya na kumwita jpm mshamba. Katibu wake mkuu ni mramba aliyetumbuliwa tanesco kwa kutaka kupandisha bei ya umeme wakati lengo la jpm ni kushusha bei ya umeme.

Huku kwenye habari kamrudisha nappe. Huyu alitumbuliwa na jpm kwa kutowajibika vizuri na kukosa weledi. Wenye kujua ndio tulielewa.

Waziri anawezaje kwa uamuzi wake binafsi kuunda tume eti kumchunguza mkuu wa mkoa. Alivyo kilaza akadai hawezi acha kumtetea wema sepeku eti baba zao walikua marafiki na mama zao wote wanatoka singida. Ndio watu mama analeta kwenye baraza la mawaziri na kumtosa mtu kama mwanasheria nguli kabudi.

Ok nisiwe unfair sana kwa mama kuna vichwa vingi kaviretain ila asije kuleta pwanigang. Mimi naamini sukumagang was just a coined term kufanya uchochezi kumpinga magufuli.

Kuna mawaziri watano toka mikoa ya pwani. Competance yao wala sio shindani. Ni kundi la wale polepole alisema kwenye shule yake iliyofungwa.
Maana yake ni kutuonyesha dharau kubwa kwamba "Mtanifanya nini?"
I pity my country. We are heading in a wrong direction. Naihurumia nchi yangu. Tunakoenda ni kubaya. UDINI, NEPOTISM, nk. itatuumiza. Ila najua siku moja Watanzania watasema IMETOSHA! Usimwamshe aliye lala akiamuka utalala wewe!!!
 
Kwani Mwendazake ni nani katika hii Nchi?
 
Ukitaka kufeli vibaya mfanye Jiwe awe determinant wako. Jua tu ni mtu aliye chemka mbaya.. Labda awe determinant katika failure.
 
Ukiangalia kwenye wizara ya nishati kampa januari aliyekua anamsengenya na kumwita jpm mshamba. Katibu wake mkuu ni mramba aliyetumbuliwa tanesco kwa kutaka kupandisha bei ya umeme wakati lengo la jpm ni kushusha bei ya umeme.

Huku kwenye habari kamrudisha nappe. Huyu alitumbuliwa na jpm kwa kutowajibika vizuri na kukosa weledi. Wenye kujua ndio tulielewa.

Waziri anawezaje kwa uamuzi wake binafsi kuunda tume eti kumchunguza mkuu wa mkoa. Alivyo kilaza akadai hawezi acha kumtetea wema sepeku eti baba zao walikua marafiki na mama zao wote wanatoka singida. Ndio watu mama analeta kwenye baraza la mawaziri na kumtosa mtu kama mwanasheria nguli kabudi.

Ok nisiwe unfair sana kwa mama kuna vichwa vingi kaviretain ila asije kuleta pwanigang. Mimi naamini sukumagang was just a coined term kufanya uchochezi kumpinga magufuli.

Kuna mawaziri watano toka mikoa ya pwani. Competance yao wala sio shindani. Ni kundi la wale polepole alisema kwenye shule yake iliyofungwa.
Hizi jitihada ndo maana halisi ya "kazi iendelee" mama anasema anakwamishwa na watu wenye stress za 2025!! Japo ni ajabu Lukuvi kudaiwa ana stress za 2025 halafu Mwigulu Nchemba na Kercm asiwe na hizo stress za 2025!! Naomba tumwogope Mungu!!! Kwa habari ya Ndugai, mama nampongeza sana, ameupiga mwingi!!
 
Waziri anaunda tume kwa uamuzi binafsi kumchunguza mkuu wa mkoa! Anatoa wapi hayo madaraka? .. kama si ulevi au kutoelewa ukomo wa madaraka yake.
Kama waziri ana mamlaka ya kuunda tume , tume peke yake ndiyo ilikuwa na uwezo wa kugundua kama mkuu wa mkoa alihusika au la. Vinginevyo kusema mkuu wa mkoa Ali husika- ni majungu tu. Utamfukuza Waziri kama unataka kuficha jambo.
 
Daa nimecheka sana .Eti shule ya polepole imefungwa.
Halafu nani sijui amepewa wazara husika!!!?
1641750558967.png
 
Maana yake ni kutuonyesha dharau kubwa kwamba "Mtanifanya nini?"
I pity my country. We are heading in a wrong direction. Naihurumia nchi yangu. Tunakoenda ni kubaya. UDINI, NEPOTISM, nk. itatuumiza. Ila najua siku moja Watanzania watasema IMETOSHA! Usimwamshe aliye lala akiamuka utalala wewe!!!
Kwa mtu yeyote mwenye hakima na busara hio nepotism ya wazi ni mbaya mno mno.

Nakubali kabisa hata enzi za mpendwa wangu JPM kulikuwa na nepotism na akitumia iron hand ku protect the darlings lakini si kibali cha kuuendeleza. Mimi nilichukulia kua pengine no wale ambao anawafahamu vizuri na ambao wataweza kumwelewa. Nilikuja kuwa disappointed sana wakati wa uchaguzi na ndiyo sababu mpaka leo wale viongozi wa chama walioondolewa sina huruma nao. Walituaminisha kuwa watakuwa fair lakini it was the same na wao walipanga safu zao.

Lets be reasonable, tuukatae huu ujinga. Si wote waliotumbuliwa walikuwa wabaya lakini hainamaana hakuna wabaya. Si wote waliochaguliwa enzi hizo walikuwa na credentials lakini haina maana hakuna wenye credentials...Ebu tuende objectively kuliunda taifa letu kwa misingi ya haki, usawa na kuheshimiana. Kila mwenye uwezo apate nafasi na tuende kujenga mifumo ikiwemo kukubali katiba mpya ili haya mambo ya kupanga safu na kuleta state capture yaishe kila mtu ale kwa jasho lake. Wenzetu walioendelea walitoka hukuhuku wakaona hailipi wakaamua kutengeneza mifumo.

Mit 14:34 SUV​

Haki huinua taifa; Bali dhambi ni aibu ya watu wo wote.
 
Nape alimpa ultimatum Raisi akiamini they own JPM na kumweka madarakani... kuunda tume was stupid...

Sisi wachaga tushangilie Msoga ama Sukuma?
Mbona kelele mkuu, Nape aliondolewa uwaziri kwa sababu aligusa mahali pabaya, bashite alikuwa ni kidonda cha mwendazake nani asiyejua na kuamini alichofanya bashite clouds hakikubaliki? Mwendazake alikuwa na udhaifu mkubwa sana baadhi ya watu alikuwa kama pamba hakuthubutupo kuwanyooshea kidole.,

Yaani tumuombee dua sana huyu Mama ataibadilisha nchi, Magu uharamia wa ndugai wote ule bungeni hakusema ata kwiyoo.., mama ameweza kumtikisha ndugai from the bottom., sasa barabara ni nyeupee anaweza kwenda speed anayotaka
 
Kwa mtu yeyote mwenye hakima na busara hio nepotism ya wazi ni mbaya mno mno.

Nakubali kabisa hata enzi za mpendwa wangu JPM kulikuwa na nepotism na akitumia iron hand ku protect the darlings lakini si kibali cha kuuendeleza. Mimi nilichukulia kua pengine no wale ambao anawafahamu vizuri na ambao wataweza kumwelewa. Nilikuja kuwa disappointed sana wakati wa uchaguzi na ndiyo sababu mpaka leo wale viongozi wa chama walioondolewa sina huruma nao. Walituaminisha kuwa watakuwa fair lakini it was the same na wao walipanga safu zao.

Lets be reasonable, tuukatae huu ujinga. Si wote waliotumbuliwa walikuwa wabaya lakini hainamaana hakuna wabaya. Si wote waliochaguliwa enzi hizo walikuwa na credentials lakini haina maana hakuna wenye credentials...Ebu tuende objectively kuliunda taifa letu kwa misingi ya haki, usawa na kuheshimiana. Kila mwenye uwezo apate nafasi na tuende kujenga mifumo ikiwemo kukubali katiba mpya ili haya mambo ya kupanga safu na kuleta state capture yaishe kila mtu ale kwa jasho lake. Wenzetu walioendelea walitoka hukuhuku wakaona hailipi wakaamua kutengeneza mifumo.

Mit 14:34 SUV​

Haki huinua taifa; Bali dhambi ni aibu ya watu wo wote.
SSH anatuonyesha kuwa kama wewe si mtoto wa mtu mkubwa huna sehemu ktk serikali yake. Recycling Relatives, and Religious compatriots is the worst thing a leader can do. Mtoto wa Mkulima nani atamkumbuka?
 
tulipiga hatua mbele sasa naona kuna mtu yupo spidi sana kutupigisha hatua za kurudi nyuma. Analeta ujinga ule tulioukataa miaka michache ya nyuma. Wanafikiri hii inchi ni ya kindugu ndugu waendelee kupeana ulaji. Kurudisha matapishi wakati kuna watanzania zaidi ya milioni 50 wenye ueledi..si ukuda huu
 
Back
Top Bottom