Juha mwerevu na ticha kihiyo

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,652
Reaction score
860,938
MIMI:- Mwalimu, nina swali πŸ™‹πŸΎβ€β™‚οΈ

MWALIMU:- Ni lipi? πŸ™„

MIMI:- Unamweka aje tembo ndani ya friji? 😜

MWALIMU:- Sijui πŸ˜’

MIMI:- Ni rahisi sana, unafungua friji na kuweka tembo ndani 😁

MWALIMU:- Sawa πŸ™Š

MIMI:- Na unamweka aje punda ndani ya friji? 😜

MWALIMU:- Rahisi sana, unafungua friji na kuweka punda ndani πŸ˜€

MIMI:- Hapana, kwanza unatoa tembo kisha unaweka punda ndani 😜

MWALIMU:- Ooohhh sawa πŸ€”πŸ˜Š

MIMI:- Nina swali lingine πŸ™‹πŸΎβ€β™‚οΈ

MWALIMU:- Endelea πŸ€”

MIMI:- Kama wanyama wote watahudhuria sherehe ya kuzaliwa ya simba, ni mnyama gani hatakuwepo na kwa nini? 😁

MWALIMU:- Wanyama wote hawatakuwepo kwa sababu simba atawala 😁

MIMI:- Hapana, ni punda kwa sababu bado yuko ndani ya friji 😜

MWALIMU:- Lazima uwe na kichaa πŸ™„

MIMI:- Mimi sio kichaa,... swali la mwisho πŸ™‹πŸΎβ€β™‚οΈ

MWALIMU:- Sawa, endelea 😏

MIMI:- Utavukaje mto uliojaa mamba na hakuna daraja?

MWALIMU:- Si rahisi, nitatumia boti 🀨

MIMI:- Hapana, wanyama wote walihudhuria sherehe ya kuzaliwa ya simba, kwa hiyo mamba pia yuko huko, wewe pita kwa kuogelea tu πŸ’πŸ½β€β™‚

MWALIMU:- Wewe ni mjinga, toka darasani mwangu πŸ™„πŸ€§

...🀣🀣
 
Duh..
Mwalimu huyo lazima ni kada wa chama cha mazezeta
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…