Sikujua kuwa mwisho wa dunia umeahirishwa.
Mi nlidhani leo kumbe kesho?
Sasa itabidi kamati ya kuratibu mwisho wa dunia iwe inatupa updates, wakikaa kimya sana wanatuumiza matumbo sisi watakatifu wa infidelity, pombe na anasa.
Si unajua tena ngojangoja yaumiza matumbo na sisi tuna hamu ya Paradiso?