Amazing so huyu ndiye mtawala wa dunia la wachawi nini ndiyo maana nyota yake kuzimika ilionekana hadi kule America nao wakadhani ndo wote tuna ingia kwenye judgement nini?
Yaani hapa nilipo natubu jamani siko nyumbani niko naaaaaaaaaaaa! Basi ok kuna yule jamaa ananidai 50m za Obama namwomba anisamehe! hiyo imekula kwake! Aafu mama Eeka Mangi unisamehe maana toka saa ile niliyoaga niko na yule binti! Dah yaani itakuwa baada ya saa 6 usiku ama?
mbona ghafla tena bila hata ya warning atakuwa ametukosea sana mungu wengine ndio kwanza maisha yanaanza kunoga. halafu hatuna hata siku nyingi za kutubu au hizi chache zilizobaki zinatosha?
bado masaa machache ifike trh 21/05/2011, hapa nimechukua mkwanja wakutosha, leo ni kula bada mpaka basi. Kiama kitanikuta baa, je wewe utakuwa wap? Unafanya nin?