judgement.......

Out ya kivipi ?
Wakati mie nna siku ya 3 mfululizo sijarudi kambini niko out !
Nani wa kumtoa mwenzake ?

kujifungia gest buibui kwa manyanya ndo out hiyo? siku nyingine nikikuitia maraha ukuje fasta.
 
mkuu na wewe unaendaga kwa dudley? ana vyumba vizuri kweli halafu bei poa,mishkaki ya bonga utamu usiseme,leo nitakuja hapo leo. @kongosho ni join basi leo bonga.
...hahahahaha..pale huwa nakaa sana..mishikaki umeikubali eeh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…