Judgement ya CHADEMA hii hapa

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
51,853
Reaction score
101,117
Soma judgement ya CHADEMA hapa
===========
At the High Court of Tanzania, the respondents herein instituted a petition against the applicants both jointly and severally for the following substantive reliefs: One, declaration that the applicants are in breach of section 6A (1), (2) and (5) of the Politicali

Kwanza, tamko kwamba mgawanyo wa fedha, mali na rasilimali za waombaji kwa ajili ya shughuli za kisiasa na kiutawala kati ya Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar ni kinyume cha sheria, na hivyo ni batili.

Pili, amri inayowaelekeza waombaji kuzingatia kifungu cha 6A(1), (2) na (5) cha Sheria ya Vyama vya Siasa.

Tatu, amri ya kusitisha kwa muda shughuli zote za kisiasa hadi pale watakapotekeleza amri za mahakama.

Nne, amri ya zuio la kudumu (perpetual injunction) dhidi ya matumizi ya mali, fedha na rasilimali za chama hadi walalamikiwa watakapozingatia sheria husika.

Sababu za madai ya walalamikaji zimeainishwa katika aya ya 4 ya hati ya madai kama ifuatavyo:


Consequently, we quash the trial court's proceedings subsequent to the discharge of the advocate
and the resultant ruling granting temporary injunctive orders.
In the final result, the record is remitted to the High Court with instructions that the point in limine concerning time limitations be adjudicated before another judge of the High Court prior to any further proceedings
 

Attachments

✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽 ✌🏽
 
Kumbe tumedanganywa kwamba wameehusiwa?
 
Nashauri sasa kesi ya wauaji ya MO29 ifunguliwe dhidi ya serikali iliyoua WaTanganyika.
Sasa
 
Nashauri sasa kesi ya wauaji ya MO29 i
Kumbe tumedanganywa kwamba wameehusiwa?

funguliwe dhidi ya serikali iliyoua WaTanganyika.
Sasa
 
Judge Mwanga is a disgrace to Judiciary. Huyo Jaji ni pandikizi la CCM, alikuwa Tume ya Uchaguzi kimkakati, akateuliwa
kuwa Jaji kimkakati, akapangiwa kusikiliza kesi ya Chadema kimkakati.

Vv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…