Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,787
- Thread starter
- #41
Last edited by a moderator:
Unajiskia raaahaa! Kujitoa fahamu!
Si ndiyo farkhina?
Santeee mkuu nilikuwa sijui kama hiki kilimo cha maparachichi kinaweza kututoa,ngoja tukazane kwenye hiki kilimo ili nasi tutoke.1. mwallu
Ujumbe nammaindi .
2. Heaven on Earth ,
Ujumbe namzimia
3. Mamndenyi
Ujumbe nammezeamate
1. kabanga
2. Baba V
3. Washawasha
ujumbe kwa wote wakazane sana kwenye miparachichi , kwani kilimo chake kitawatoa!
Santeee mkuu nilikuwa sijui kama hiki kilimo cha maparachichi kinaweza kututoa,ngoja tukazane kwenye hiki kilimo ili nasi tutoke.
Nalog off
1. mwallu
Ujumbe nammaindi .
2. Heaven on Earth ,
Ujumbe namzimia
3. Mamndenyi
Ujumbe nammezeamate
1. kabanga
2. Baba V
3. Washawasha
ujumbe kwa wote wakazane sana kwenye miparachichi , kwani kilimo chake kitawatoa!
1. mwallu
Ujumbe nammaindi .
2. Heaven on Earth ,
Ujumbe namzimia
3. Mamndenyi
Ujumbe nammezeamate
1. kabanga
2. Baba V
3. Washawasha
ujumbe kwa wote wakazane sana kwenye miparachichi , kwani kilimo chake kitawatoa!
Ha ha haa,
Hongera kwa kutimiza miaka miwili foramuni na kupewa ban moja tu.
Chagua wimbo ukuburudishe wewe na hawa uliyowatumia salamu
wakati wakikazana sana kulima marachichi.
Afu wewe Mamndenyi siku nikifa utamchokoza nani?
Nway kuhusu machaguzi ya wimbo , tutafute pagala lililo pembezoni tukutanie humo ndo nikwambie "Mziki wangu" niutakao!
1. mwallu
Ujumbe nammaindi .
2. Heaven on Earth ,
Ujumbe namzimia
3. Mamndenyi
Ujumbe nammezeamate
1. kabanga
2. Baba V
3. Washawasha
ujumbe kwa wote wakazane sana kwenye miparachichi , kwani kilimo chake kitawatoa!
Ha ha haaa
Hauwezi kufa,
Mi nakuchagulia Tid - Zeze
ukuburudishe wewe mwenyewe na hao uliowataja kwenye salamu isipokuwa Mamndenyi
Unataka pagala eti eeh,
Ngoja nifanye risechi.
Alaaah kumbeee!
Tunazimiaa'ana !