Judgement Miaka miwili Foramuni

Judgement Miaka miwili Foramuni

hahahahaaa asante sana judgment nimefurahije hapa

Kupeana Kikoa!
Namie unanifurahishaje?kabla hujanambia huo mfurahisho re'glance my avataar , huo m'mwili haukidhi kufurahishwa kwa Big G ! au Chips viazi !
 
Hongera sana bestito mungu akupe maisha marefu ili uendelee kuienjoy humu jf kwa ban za kutosha
 

nduguyo kashafanya mambo
kwani hajkwambia?kijacho anazingua kweli

Shem!
Mi n'tu n'zima ! Nilishakustukia mapeeemaa! Kwamba inkatikia! Haya santee kwa taarifa , nakutumia vipolo/viroba (sio vya ulabu) viwili vya ukwaju .
 
sijawahi kula ban hata kidogo bestito na najitahidi sana nisipewe hiyo ban kwani najua watu wanavyosumbuka hapa jamvini bestito tena naomba na wewe usiipate msimu unaokuja labda ule msimu mwingine wa uchaguzi wa maraisi wa tanzania kwani msimu ule ndo wtu wengi humu mjengoni watapata ban
Mathalan wewe ladyfurahia ushawahi kula Ban ?
 
sijawahi kula ban hata kidogo bestito na najitahidi sana nisipewe hiyo ban kwani najua watu wanavyosumbuka hapa jamvini bestito tena naomba na wewe usiipate msimu unaokuja labda ule msimu mwingine wa uchaguzi wa maraisi wa tanzania kwani msimu ule ndo wtu wengi humu mjengoni watapata ban

Okey Madame nilikuuliza hivyo nikiwa na maana. Ningeshanga incase jibu lingekua tofauti na ulilonipa .
 
Habari ndo hiyo baabie-wana!
Kama hapo mlipo geografia ya miavocado haikubali , basi mwambie Shemeji mkazane kwenye migomba .
tukikazana kwenye migomba nafikiri ndio tutatoka kimaisha.
Nalog off
 
Ujumbe wako ni murwaa kabisa,
Hasa wale dada zako wa kule holili wanajua kuhusu
faida ya marachichi kwani kule kwa mzee kinyata
wanayauza kwa bei mbaya.

Sijui tukafweke wapi pori ili tupande marachini Mwanyasi je kule maeneo yapo tena?

Mwakajana nilipanda miche 1220 ya maparachichi,
Hayo matunda ni matamu sana, nakumbuka miaka kadhaa iliyopita nilikuwa shule moja ipo Chuga Rejao anaifahamu, badala ya kula maharage na wali sie tulikuwa tunanunua maparachichi aka matakapela na kuyakoroga kwa wali! Mamndenyi njoo upate mihekari ya kupanda hayo makitu
 
Last edited by a moderator:
19600976-great-awesome-job-recognition-stamps.jpg

Hongera shem Judgement
 
Last edited by a moderator:
hongera bwa'shee Judgement.....nakumbuka ban yako ile ilikuuma hadi ukajitoa JF kwa muda kupinga kitendo hicho lol

Tupo pamoja "wazee" tupo kama kawaida
 
Last edited by a moderator:
hongera bwa'shee Judgement.....nakumbuka ban yako ile ilikuuma hadi ukajitoa JF kwa muda kupinga kitendo hicho lol

Tupo pamoja "wazee" tupo kama kawaida

Ankal Kaizer nimekukubali kwa kumiliki sever ya memory kumbe avataar yako si kiashiria cha wapotezao mbukumbuku mapema !
Absolutely true pains ya ile Ban , ilinipeleka takriban two moon nimekaa bila kufanya muamala wowote foramuni, meanwhile a certain ban was over !
Na hadi leo naendelea kuamini penalty ile haikua haki yangu.
Namshukuru Creater of everythin kutuCreate na kitengo cha kusahau .
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom